Tourist man
Member
- Mar 31, 2014
- 34
- 5
Habari zenu ndugu zangu wa jf.mimi humu ni mgeni ila nmekuja huku kufuata advice yenu.
Naombeni ushauri juu ya nchi hii ya Russian nna mpango wa kwenda for leisure 2 weeks.najua watz huko hawakosekani.Je visa zake hazisumbui kama za uk?Hotels?nategemea kwenda miji mitano.
Naskia kuna ubaguzi mkubwa ila mi ntakomaa tu.
Naombeni ushauri kwa wazoefu.
Nawasilisha