The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
- Thread starter
-
- #61
Thanx Rocky for this useful commentsMkuu unapooa au kuolewa na mtu unajikuta katika new family ambayo ina taratibu na mambo yake
U can not change the world in one day
Mambo ya kusema ulinikuta nalala kuelekea kaskazini siwezi kubadilika na kulala kuangalia kusini hayo ni mambo ya ajabu
Uko kwenye himaya mpya and new family and u have to follow kile ulichokuta kule
Ndo maana tunaoana ili mimi na wewe tutengeneze familia na hiyo familia ije ituone sisi ni wamoja
Usitegemee baba aende kaskazini na mama aende kusini then useme hapo kuna familia
Hahaha!! LolUnajua uchanganyaji wa madaw lazima uendane na lugha za kimombo vinginevyo unawzea kusababisha sumu...... sasa hiki kiinglishi mnachokiweka hapa bado hakijafika kwenye silabasi zetu....Tuoneeni huruma watu wa madawa....
Fainest Utuhurumie, keren Hapuch Utusikie. Fellow tablet kama hatujasikilizwa tuhamie Tripoli kwa waasi.... Maandamano ya chadema hayatatusaidia katika kudai haki yetu ya kukienzi kilugha chetu cha kinyerere.
Fainest Utuhurumie, keren Hapuch Utusikie. Fellow tablet kama hatujasikilizwa tuhamie Tripoli kwa waasi.... Maandamano ya chadema hayatatusaidia katika kudai haki yetu ya kukienzi kilugha chetu cha kinyerere.
Thanx Rocky for this useful comments
hehehe Keren Happuch yuko bize na laki 5 kule chit chat. The Boss anataka kuwaingiza magreti thinka chaka.
Mwalimu wangu wa somo la 'jinsi ya kutuliza maumivu wakati wa sikukuu' aliniambia ukiona mtu anacheka bila kupenda huna haja ya kumpa vidonge vya kutuliza maumivu, bali unamsemesha kwa kimombo......"get welo suuni"..........Kwa kiinglish ukimwambia mtu geti welo suuni, ni sawa na kumsokomezea mbantu kikombe kimoja cha maji ya mwarobaini saa kumi na mbili asubuhi kabla hajapiga mswaki. Ni kunga ya marazi kwa miaka mitatu ijayo.Nyie watu nyie acheni vituko bana mnatufanya tucheke bila kupenda
Mwalimu wangu wa somo la 'jinsi ya kutuliza maumivu wakati wa sikukuu' aliniambia ukiona mtu anacheka bila kupenda huna haja ya kumpa vidonge vya kutuliza maumivu, bali unamsemesha kwa kimombo......"get welo suuni"..........Kwa kiinglish ukimwambia mtu geti welo suuni, ni sawa na kumsokomezea mbantu kikombe kimoja cha maji ya mwarobaini saa kumi na mbili asubuhi kabla hajapiga mswaki. Ni kunga ya marazi kwa miaka mitatu ijayo.
hehehe Keren Happuch yuko bize na laki 5 kule chit chat. The Boss anataka kuwaingiza magreti thinka chaka.
Tatizo uko busy sana na wajukuuMwalimu wangu wa somo la 'jinsi ya kutuliza maumivu wakati wa sikukuu' aliniambia ukiona mtu anacheka bila kupenda huna haja ya kumpa vidonge vya kutuliza maumivu, bali unamsemesha kwa kimombo......"get welo suuni"..........Kwa kiinglish ukimwambia mtu geti welo suuni, ni sawa na kumsokomezea mbantu kikombe kimoja cha maji ya mwarobaini saa kumi na mbili asubuhi kabla hajapiga mswaki. Ni kunga ya marazi kwa miaka mitatu ijayo.
Hahahaha.......Magriit Thinkaz wa Chit Chat wawili ni sawa na magriit sinkaz kumi wa majukwaa mawili ya mastress.....Hizo laki tano Ze Boss anataka akanunulie raba mtoni za idi ill fitri au?hehehe Keren Happuch yuko bize na laki 5 kule chit chat. The Boss anataka kuwaingiza magreti thinka chaka.
Hao tablet wawili sijui kama somo linawaingiaI think that in the course of marriage, there is nothing that cannot change.
Yeah thats true and nothing is static when it comes to marriage issue.
Lazima kila mmoja akubaliane na mwenzake na avae viatu vya mwenzake katika ndoa ili kuleta maelewano
Huwezi ukaja na mambo ya kule kwenu nyumbani katika familia mpya ambayo nayo ina mambo yake
Mtajikuta mnatengeneza bomu ambajlo litawalipukia
Though kuna mambo mazuri ya kuiga ila mnayachuja kabla ya kuyakubali
Well said BishangaNa haya mambo ya kuoana mi naona ni kamari,pata potea,ukimpata ambaye mtaelewana you will be very happy indeed ,ukikumbana na mkorofi itakula kwako maana utajuta maisha yako yote.Kwa wanaotaka kuoana just take your chance, kama uko ndani ya ndoa ngumu just grind your teeth and take the punches your marriage is throwing at you maana utafanyaje sasa?
Hao tablet wawili sijui kama somo linawaingia
Hahahaha.......Magriit Thinkaz wa Chit Chat wawili ni sawa na magriit sinkaz kumi wa majukwaa mawili ya mastress.....Hizo laki tano Ze Boss anataka akanunulie raba mtoni za idi ill fitri au?
Labda fellow tablet ya malaria, mi somo limepanda. Hapa si mnazungumzia kwa mfano umeoa waifu akiwa chadema, akijiunga na chama cha magamba unamlamba talaka tatu rejea....au mnazungumzia Aseno akicheza na Simba nani atatoa droo?Hao tablet wawili sijui kama somo linawaingia
Labda fellow tablet ya malaria, mi somo limepanda. Hapa si mnazungumzia kwa mfano umeoa waifu akiwa chadema, akijiunga na chama cha magamba unamlamba talaka tatu rejea....au mnazungumzia Aseno akicheza na Simba nani atatoa droo?
Labda fellow tablet ya malaria, mi somo limepanda. Hapa si mnazungumzia kwa mfano umeoa waifu akiwa chadema, akijiunga na chama cha magamba unamlamba talaka tatu rejea....au mnazungumzia Aseno akicheza na Simba nani atatoa droo?
Hii lazima atakuwa ameitoa kwenye gazeti la The African. Wale jamaa wa The Guardian hawajui kimombo cha namna hii bana...khaa!....Nimejaribu kucheki na google nao nikaambiwa watanitafsiria hicho kiinglishi baada ya wiki mbili. Wanalazimika kuwasiliana na Oxford Yunivasite kitengo cha Kiinglish toleo la Kiranga.huyo ze finest wenyewe haelewi kaandika nini? hii habari kaikopi gazeti la the guardian (reference tunayo)
Unafikiri mimi Hashycool aliyejifanya anajua kuongea kirusi baada ya kukamatwa border anatuita tumtoe selohuyo ze finest wenyewe haelewi kaandika nini? hii habari kaikopi gazeti la the guardian (reference tunayo)
arrrooo sisi wengine aseno,ndo nini sasa kututonesha!Labda fellow tablet ya malaria, mi somo limepanda. Hapa si mnazungumzia kwa mfano umeoa waifu akiwa chadema, akijiunga na chama cha magamba unamlamba talaka tatu rejea....au mnazungumzia Aseno akicheza na Simba nani atatoa droo?