My thoughts, what are yours?

Hahaha!!! Wee kwa fitina sikuwezi hivi yule mshikaji alitokomea kule alikoenda hakurudi?? Sisi vijana banaa lol!!!
<br />
<br />
Hakurudi bana
Vijana tuna matatizo mbaya kabisa. Yaani hii kitu hii kitu hii ni balaa
 
Bht ile kitu ambayo haina macho wala miguu ila inaona na kusimama dede
 
Mhhh TF ana ndoa ya lini hiyo ndoa yake au ya mkeka
 
Bht ile kitu ambayo haina macho wala miguu ila inaona na kusimama dede
Khaa ndo mshkaji wenu alikotokomea?
Namtafuta malaika wa Mungu, Roho mpatanishi klorokwini aje achakachue hii sred, imedumu mno!

TF ndoa mbona tayari, hajakwambia? hata mi hakunialika though
 
Ad kwani jamaa ananiamini tena. Anaona akiniambia kuhusu hayo nitamuumbua
Ndoa yake kila siku wanagombana na talaka imekataliwa na unajua kashanyimwa unyumba toka mwaka jana
 
Khaa ndo mshkaji wenu alikotokomea?
Namtafuta malaika wa Mungu, Roho mpatanishi klorokwini aje achakachue hii sred, imedumu mno
TF ndoa mbona tayari, hajakwambia? hata mi hakunialika though
Ad alitokomea kusikojulikana tena club zile zenye wale wadada poa kabisa

We wacha kabisa hachakachuliwi mtu hapa na kama klorokwini ana ubavu aje basi achakachue post hii tutamdunda mbaya
 
Ad kwani jamaa ananiamini tena. Anaona akiniambia kuhusu hayo nitamuumbua
Ndoa yake kila siku wanagombana na talaka imekataliwa na unajua kashanyimwa unyumba toka mwaka jana

duuhhh hivi kumbe basi mi nnajua stori nyingine kuhusu ndoa yake..
na yenyewe ni hii sex anapata, kwa sasa wanaishi kwa mkataba tu TF
ame fall in love na mtu mwingine kamwambia mkewe na mkewe akamkubalia
divorce sasa wanasubiri huyo lawyer apitishe kalimu kila mtu acheza zake lakini kwa sasa
ni wanatimiziana mahitaji tu (no strings attached)...lol
 
TF ana ndoa ya kanisa ila kwa sasa
anashughulikia divorce mpaka apate basi hiyo ndoa
ndo itakuwa imekufa ama sivyo basi bado yumo kwenye uzi..

Khaa ndo mshkaji wenu alikotokomea?
Namtafuta malaika wa Mungu, Roho mpatanishi klorokwini aje achakachue hii sred, imedumu mno!

TF ndoa mbona tayari, hajakwambia? hata mi hakunialika though

Duh!!! Aisee Rocky na AD hizi fitina zenu hizi hapa sijui hata kama bht atanipa binti yake lol!!!
 
QUOTE=The Finest;2455055]Duh!!! Aisee Rocky na AD hizi fitina zenu hizi hapa sijui hata kama bht atanipa binti yake lol!!![/QUOTE]
Hapa si tunakufagilia kuwa uko single ili upate binti wa Bht
 
Orayt, hebu mwambieni ODM mmeafikiana nini kwenye swala zima la ndoa, kabla hajarusha maeksipiriensi yake ndani ya ndoa takatifu.

Angalizo: Mnifahamishe kwa kinyerere........ODM ana allergy na Tony Blair's mother tongue....
 
Duh!!! Aisee Rocky na AD hizi fitina zenu hizi hapa sijui hata kama bht atanipa binti yake lol!!!

Hata mpaka hapo Princess wangu muhesabu kabisa hutompata...kumbe kuna Petition for divorce huko kwa court? Afu inaelekea ww ndo umesababisha ndoa ikavunjika irreparably.....
My Princess is too good for you, mm na babaake hatutoa consent!
 
QUOTE=afrodenzi;2455032]duuhhh hivi kumbe basi mi nnajua stori nyingine kuhusu ndoa yake..
na yenyewe ni hii sex anapata, kwa sasa wanaishi kwa mkataba tu TF
ame fall in love na mtu mwingine kamwambia mkewe na mkewe akamkubalia
divorce sasa wanasubiri huyo lawyer apitishe kalimu kila mtu acheza zake lakini kwa sasa
ni wanatimiziana mahitaji tu (no strings attached)...lol[/QUOTE]

Hiyo ni story nyingine alikupa
Hivi kumbe kila akikutana na mtu anatoa another version of story
Na unajua nyumba anayokaa ni ya yule mwanamke sasa
So siku talaka ikitoka TF anafukuzwa na kifuko chake cha rambo na zile jeans zake mbili mpauko
 
hivi hommie kumbe masharti hapa ni kuchangia kwa ki english? daaamn
Hommi baba, mbona unazeeka kabla hujawa kijana?.........Hebu soma haya mabandiko ya wajukuu wa Davie Cameron hapa chini......

bwan Rocky, umdunde mtumishi wa Mungu? Laana yake unaijua? Kesho utashangaa unamgongea asuluhishe mgogoro wa ndoa yako.....lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…