Mkuu Gaijin, sizani kama nilikusudia hiyo kuifanya ni barua ya maombi, but kuelezea nini hasa ninachoomba na nipo ktk mazingira gani. Likewise, nazani jambo la kuangalia si namna gani "barua" inavutia, bali ni kuangalia how need I am! What i am sure of ni kwamba nilichoongea ni true 100%Barua yake ya maombi haijanivutia hata kidogo......nashindwa kutoa msaada. Nna hakika wapo waliovutiwa kwa hiyo watatoa wao msaada
Mkuu, wala siwezi kujisikia vibaya kwa hicho ulichoongea kwani ni kweli yanatokea sana siku hizi. Hata hivyo, nakuhakikishia niliyoongea ni kweli kwa 100%.Gaijin, usianze kucomplicate issue sasa,hicho kiingereza kimeeleweka vizuri tu na wala hakina tatizo lolote na ameamua kutuandikia huku akiwa na akili zake timamu Ndugu yangu Chige habari yako ni ya kusikitisha kama ni ya ukweli , samahani kwa kuandika hivyo tatizo mji wetu huu sasa umeharibika ningeomba kama una simu basi uziweke hapa hizo namba zako maana mara nyingine unaweza kutumiwa Vocha ama M-Pesa, pia kama kuna uwezekano basi jaribu kuelekeza exactly wapi ulipo, namaanisha ramani ya kwenu na pengine uelezee unapatikana wapi mara kwa mara, maana twaweza pita karibu na ulipo na kukupa chchte (Mkono mtupu haulambwi)
Pole sana Chige:
Wakati unaomba usaidizi jitahidi kuandika kwa ufasaha: Unapoandika kuwa una Bsc na umefanya kazi miaka mitano, inatakiwa pia unachoandika kiwe kina "reflect" uwezo wako (competence)....
Mkuu, wala siwezi kujisikia vibaya kwa hicho ulichoongea kwani ni kweli yanatokea sana siku hizi. Hata hivyo, nakuhakikishia niliyoongea ni kweli kwa 100%. Kuhusu ushauri wako wa kuweka namba ya simu nimekuelewa vizuri sana! Labda nikuambie ki2 kimoja kuhusu mimi. AMINI USIAMINI mkuu, naweza kulala njaa wakati mtu wa kwenda kumuomba hela ya kula yupo! AMINI USIAMINI, kuomba si jadi yangu na ndio maana hata hapa sijaomba hela ya kula. Najua huwezi kuamini, lakini kama mtu anatoa option kwamba either awe ananipa shilingi laki moja kila mwezi freely, au anipe kibarua cha kupata elfu 70 kwa mwezi-kwangu nita-opt kibarua coz' am sure kama ni suala la kufuata laki ya bure, wakati wa kufuata unaweza kufika nami nikashindwa kufuata.Hapa ninapoandika haya, kuna mahali nafuatilia tempo(data entry) itakayo-last kama miezi 2 hivi au chini ya hapo. Am telling u, endapo nitapata na ikanipa angalau pesa ya kunivuta hadi mwisho wa mwaka huu, mjadala huu kwangu utakuwa over kv nitakuwa nimepata angalau kianzio. Hata hivyo, nimependa maelezo yako yanayoonesha ukomavu but trust me, nilichoongea ni ukweli mtupu.
Thanks in advance mkuu, see u when the right time come
Kwa nini usingekuja na ombi kwa lugha yetu-swahili, mbona inaelekea ni mjuzi wa kujieleza???
Kama magraduates wa Tz kiingereza ndo hiki basi nji yetu maendeleo ni ndoto.Kiingereza kama hiki si cha kujivunia kwa mtu mwenye DEGREE. Anyway pole sana kwa maswahibu yaliyokukuta.
Kwani kingereza alichotumia kina shida gani? kwani chuo kakuambia alikuwa ansoma linguistic na phonology ya kingereza. Acha kubeza. Hii ndio standa english ya sisi graduate wengi wa tanzania. Yes ina makosa lakini sio ya kushobokea kiasi hicho.Sitaki kuamini kama kamaliza Chuo Kikuu. Hicho kiingereza chake mmmmm. Ndio maana mataifa mengine wanatulalalmikia.
Sitaki kuamini kama kamaliza Chuo Kikuu. Hicho kiingereza chake mmmmm. Ndio maana mataifa mengine wanatulalalmikia.
vp ww mbona unaonekana kama hujaenda shule?unamjaji mtu kwamba ameenda shule kwa lugha uko ni kuathiriwa na ukoloni!Sitaki kuamini kama kamaliza Chuo Kikuu. Hicho kiingereza chake mmmmm. Ndio maana mataifa mengine wanatulalalmikia.
I am a Tanzanian young man 34 years of age, holding B.Sc. Agricultural Economics & Business. I have about Five (5) years working experience in Banking. My areas of competence include Customer Service, Sales, Marketing and Banking Operations. I lost my job in a very contradicting ways; I was completely screwed by the person I respected most! And, it is almost Two (2) years now and I have succeeded to get no job yet! ]