My story

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,168
8,142
It has all what people would like to hear under prevailing political situation of our country and our neighbors in general. It’s investigative novel where its main theme is CORRUPTION. I have been trying to contact some publishing companies, but they’re not comparative. I guess most if not all of them prefer the work of reference books for schools - the market is there!the post wanted a person... since I’d to take a flight so as I could attend the interview! . if we u have anything we can share, please get in with PM
 
Khee Chinge, hio ni barua ya kuomba kazi au ni tangazo ulilikuta limebandikwa kwenye nguzo ya Tanesco !!
 
Btw neno screwed si neno linalopaswa kutumika kwenye ombi Kama Hilo
 
ONCE you get an admission,and the subject of your tution fees verified by a person i will direct you to,i am ready to help
 
Khee Chinge, hio ni barua ya kuomba kazi au ni tangazo ulilikuta limebandikwa kwenye nguzo ya Tanesco !!

Mkuu, angalia sehemu ya kuleta masikhara, kama ungejuwa situation ilivyo hata usingeongea hayo uliyoongea. Ina maana kwa mtizamo wako hiyo ni barua ya kuomba kazi?! But thanx for your contribution kwani endapo pangekosa contribution yeyote si ajabu ingekuwa kwenye invisible page.
 
Are you serious Son of Alaska? To be honest, I am in need of support. Kama kuomba misaada ingekuwa ni jadi yangu basi ningekuwa nimefanya hivyo zamani sana but i didn't na sasa nimeamua kufanya hivyo coz' i have no way out!

I stand by my WORD
 
Barua yake ya maombi haijanivutia hata kidogo......nashindwa kutoa msaada. Nna hakika wapo waliovutiwa kwa hiyo watatoa wao msaada
 
Chige hivi kwa nini uliamua kutumia kiingereza?

Gaijin,

usianze kucomplicate issue sasa,
hicho kiingereza kimeeleweka vizuri tu na wala hakina tatizo lolote na ameamua kutuandikia huku akiwa na akili zake timamu

Ndugu yangu Chige habari yako ni ya kusikitisha kama ni ya ukweli , samahani kwa kuandika hivyo tatizo mji wetu huu sasa umeharibika

ningeomba kama una simu basi uziweke hapa hizo namba zako maana mara nyingine unaweza kutumiwa Vocha ama M-Pesa,
pia kama kuna uwezekano basi jaribu kuelekeza exactly wapi ulipo, namaanisha ramani ya kwenu na pengine uelezee unapatikana wapi mara kwa mara, maana twaweza pita karibu na ulipo na kukupa chchte (Mkono mtupu haulambwi)
 
kituko sikuwa na nia ya ku complicate mambo ..........nilitaka kujua tu kwa nini wa sababu naona walengwa ni sisi watumiaji kiswahili lakini lugha ilotumika ni ya kigeni labda kuna maana maalum.
 
Pole sana Chige:

Wakati unaomba usaidizi jitahidi kuandika kwa ufasaha: Unapoandika kuwa una Bsc na umefanya kazi miaka mitano, inatakiwa pia unachoandika kiwe kina "reflect" uwezo wako (competence)....
 
Pole sana Chige:

Wakati unaomba usaidizi jitahidi kuandika kwa ufasaha: Unapoandika kuwa una Bsc na umefanya kazi miaka mitano, inatakiwa pia unachoandika kiwe kina "reflect" uwezo wako (competence)....

Waalimu bana utawajua tu..!
 
Pole sana Chige:

Wakati unaomba usaidizi jitahidi kuandika kwa ufasaha: Unapoandika kuwa una Bsc na umefanya kazi miaka mitano, inatakiwa pia unachoandika kiwe kina "reflect" uwezo wako (competence)....

Baba si umemwelewa lakini ..hiyo lugha itanyooka baadae kwenye masters yake..Elimu ya bongo sijui kama ukianza kazi ndo kiinglishi kitapandia kazini..Base yetu kiinglishi bado cheche ...Toa baba Enock (ndugu) ulichonacho wewee bwana anakuona mpaka moyoni mwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom