Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,284
Heheheeeiyaaa...kumbe ulikuwa Manchesita sema basi tu ukaamua kujivunga kidogo
Kirahisi rahisi haikubaliki, unapima kwanza 'how high can he jump for you' ...lol
Haiba ya mtoto wa kike hiyo ati...lol!
Baeleze baelezeeeee ....sio mtoto wa kike jamaa kakwambia "unamacho mazuri" siku hiyo hiyo, ushasema hakuna kama huyu!