my special dedication to my Wife to be

mimi kama mfuasi wa yesu natakiwa niishi kama yesu na ndo maana neno linasema sio mimi ninaeishi ila kristo(yesu) ndani yangu

Kama ni hivyo basi wewe ndie ulietakiwa kujitolea kuumia kwaajili ya wengine na sio kuumiza wengine kwaajili yako.
 
Bee subiri kwanza nikwambie

Mwenzio nishawahi kutungiwa mistari.....mwanzo mwisho original for your one and only Gee. Lakini lilikuwa kwa mtindo wa "kufoka foka" lol

I can't lie, I felt like a princess .........(japo kama princess wa Bagamoyo) ....lol
 
Lugha ya mapenzo ni Kifaransa au moja ya lugha za Kilatini......lakini nitashukuru japo kupata ya Kiingereza. Hii ya Kiswahili haikubaliki hata kidogo :p
Nifanyie mpango nipate english cozi ya kilatini angalau...nisije nikazidiwa kete kwenye makoloni yangu mwenzio
 
Imagine....if she could only know hw much you have strained to come up with the lines......

Lakini si haba, si unamjua alivyo kichwa ngumu kukubali kitu? Ila hapo angalau kalegeza kamba
:lol:Kalegeza kamba ila kwa mbinde
 
Bee subiri kwanza nikwambie

Mwenzio nishawahi kutungiwa mistari.....mwanzo mwisho original for your one and only Gee. Lakini lilikuwa kwa mtindo wa "kufoka foka" lol

I can't lie, I felt like a princess .........(japo kama princess wa Bagamoyo) ....lol

Wacha banaaa....daaah! Princess wa Bagamoyo mchezo...hiyo ina maana hadi Msoga yote yako...lol!
Sasa hapo ndo utauona utamu wa 'verse' kwenye mapendo

Mashallah....huyo alikugusa hasa maana wewe na viwango vyako...mmmh!
 
Hahahha @ Mpaka Msoga yako.........Bee umepinda wewe :D

Ila si unanijua nilivyombishi wa kukubali matokeo .......nilikuja na jibu kaa la kwa The Finest hapo. Ha ha ha
 
Kama ni hivyo basi wewe ndie ulietakiwa kujitolea kuumia kwaajili ya wengine na sio kuumiza wengine kwaajili yako.
Daah yaani kafananisha hicho kisasi na kujitoa kwa Yesu
Sasa fikiria Yesu ndo angeamua kutulipizia kama yeye alivyoamua si ingekua balaa!!

Smile my dear...that is being SELFISH
 
Hahahha @ Mpaka Msoga yako.........Bee umepinda wewe :D

Ila si unanijua nilivyombishi wa kukubali matokeo .......nilikuja na jibu kaa la kwa The Finest hapo. Ha ha ha
Her Majesty Gaijin The Queen of Bagamoyo and the Msoga Empire....
 
Mistari tu hiyo ilinifikisha huko....na bado ilikuwa kwa Kiswahili, jee ingekuwa kwa lugha ya mapenzi?

Lakini hicho cheo unakionaje? Si kimenifit mwanzo mwisho au?
 
Hahahha @ Mpaka Msoga yako.........Bee umepinda wewe :D

Ila si unanijua nilivyombishi wa kukubali matokeo .......nilikuja na jibu kaa la kwa The Finest hapo. Ha ha ha
Ayaaaaaaaaa, Gee acha hizo bana!
So that was all you could utter? daaah wee chiboko, ila jamaa atagangamala atoke na mistari myengine hadi akufanye ujiskie Prencess wa Pwani...lol!

Gee you are very 'difficulty'....lolest!
 
Duh! Yaani Bee nilikuwa kwenye cloud nine, .....nikaona nikisema zaidi ataona "kashinda kirahisi" bora nimpe cold shoulder kidogo, aongeze bidii! Yaani pale kwa kweli kama kufungwa tayari ingekuwa sita kama za Manchester.....lolz

Na niliona Bagamoyo hapatoshi japo Msoga yangu.......aongezee bidii nisogee hadi Pwani yote na vitongoji vyake :A S embarassed:
 
Mistari tu hiyo ilinifikisha huko....na bado ilikuwa kwa Kiswahili, jee ingekuwa kwa lugha ya mapenzi?

Lakini hicho cheo unakionaje? Si kimenifit mwanzo mwisho au?
Chezeiya Queen tena.....lol
Tenaa! Sasa sijui anatake huyu...
Endelea kutunga mistari huko, uwe una mrushia rushie kika mara...lol

Kama halainiki tutampaka 'girisi'
Mpaka watakuwa wanazisoma tu plate namba mie huyooo...binti niliishamshika mkono kalainika...:lol:
 
Duh! Yaani Bee nilikuwa kwenye cloud nine, .....nikaona nikisema zaidi ataona "kashinda kirahisi" bora nimpe cold shoulder kidogo, aongeze bidii! Yaani pale kwa kweli kama kufungwa tayari ingekuwa sita kama za Manchester.....lolz

Na niliona Bagamoyo hapatoshi japo Msoga yangu.......aongezee bidii nisogee hadi Pwani yote na vitongoji vyake :A S embarassed:
Heheheeeiyaaa...kumbe ulikuwa Manchesita sema basi tu ukaamua kujivunga kidogo

Kirahisi rahisi haikubaliki, unapima kwanza 'how high can he jump for you' ...lol

Haiba ya mtoto wa kike hiyo ati...lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom