.............Ikabidi huyu dada amchukue huyo mtoto akae nae na akamuweka chumba kimoja na watoto wake wa kiume(12 and 15 yrs).......................................
WHAT a damn!
what a stupid desicion!
Thank you for your good comment,but what was she supposed to do-taking into consideration that she had only 3 rooms,one for herself,one for laddies and 1 for boys?
Ndio Dunia.
Huyu dada alifiwa na dada yake ambaye alikuwa na mtoto 1(7 yrs) tu na mume wake aliishafariki.
Ikabidi huyu dada amchukue huyo mtoto akae nae na akamuweka chumba kimoja na watoto wake wa kiume(12 and 15 yrs).
Katabazi, kama huyo mtoto wazazi wake walikufa na HIV je? Thats a great posibillity also.......
Kwanza ni kosa kuwalaza watoto wa kike na wakiume wenye umri mkubwa pamoja , hata kama ni ndugu.
Halafu haiingii akilini kwanza ndo wameanza kwa huyo dada yao tu, lazima ulikuwa ni mchezo wao kwa hiyo hapo wanaendeleza au huwa wanaangalia kanda za ngono, inatakiwa awachunguze hata watoto hao ukute hata wenyewe wanafanyiana.
Halafu inaonyesha wazazi hawako karibu na watoto na hawamjui Mungu, wangekuwa wanamjua Mungu wangewafundisha watoto wao maadili na upendo kwa hiyo wangekuwa na hofu ya Mungu wasingeweza kumfanyia hivyo ndugu yao.
Huyo binti ameshaathirika kisaikologia, na uhusiano wake na ndugu zake umeishavurugika, namshangaa huyo baba ingekuwa ni mtoto wake kafanyiwa hivyo angewaaacha, kwa hiyo damu nzito anaona wa kwake ni bora kuliko wa mwenzie.
sheria zipo zichukue mkondo wake.
Ukiitazama thread vizuri haionyeshi ni jinsia gani ya huyo aliebaka kwa sababu kuu mbili. Katabazi anasema mtoto alikuwa na umri wa miaka 7 (hapo hakuna jinsia, mbeleni akasema wakamwambia lazima tukufanye nyuma (Inawezekana pia alikuwa anafanyika na mbele). Kwahiyo jinsia ni kitendawili.
Sasa kama jinsia ilikuwa ni yakike ambapo uwezekano ni mkubwa kwa sababu mbele katabazi anataja idadi ya vyumba (ingekuwa jinsia moja asingetoa hoja hiyo) hao wazazi ndio visababishi hata bila ya kufikiria malezi maana hivyo vidume ndio vinabaleghe. lakini pia na suala la malezi halitenganishwi.
Nini cha kufanya; Wazazi wa huyo mtoto wangekuwa hai wangechukua hatua gani? (hii ndo sahihi) au watoto wao wangefanywa hivyo wangeanywaje?
Waachwe kwa kweli waende nani hakuna anyependa kuona yatima wakiteswa, sheria ifanye tu kazi yake
Ndio Dunia.
Huyu dada alifiwa na dada yake ambaye alikuwa na mtoto 1(7 yrs) tu na mume wake aliishafariki.
Ikabidi huyu dada amchukue huyo mtoto akae nae na akamuweka chumba kimoja na watoto wake wa kiume(12 and 15 yrs).
Hawa watoto baada ya muda wakamvamia huyu mtoto kwa vitisho kuwa sasa huna baba na mama yako tumeisha mzika na kuanzia leo lazima tukufanye nyuma(tigo) na ukisema tutakuzika kama mama yak.
Mttot kwa kuogopa akawa akiwapa kila siku wakitaka usiku.
Siku 1 mama akagndua lakini bada ya kumuuliza mtoto kwanini uko down mtoto akakataa,basi mama akajua labda ni kwa sababu ya kufiwa na wazazi.
Wale watoto baada ya kusimuliana shuleni,akatokea mtoto ambaye amekubuhu(15Yrs) akawauliza anatembeaje-wakasema anatembea vizuri,huyo mtoto akasema basi mleteni kwangu nimuonyeshe kazi.
Wakamdanganya na kumpeleka,siku hiyo akarudi nyumbani damu zinamtoka na amezibwa na mapamba na vitambaa.
Mama kumuona vile ndio baada ya maswali mengi kila kitu kikajulikana.
Mama akaenda polisi akidai kuwa watoto wake lazima wawekwe jela kwa sababu hawafai kuishi kwenye society,baba akadai kuwa haiwezekani kwa sababu wakipelekwa Keko nao watafanyiwa vibaya zaidi.
Hayo yote 9,ninalouliza je kesi kama hii inahitaji ushahidi gani zaidi?Na watoto kama hawa wanafungwa wapi jela za watoto au za wakubwa?
Do very sorry nilikimbilia kwenye content nikapotea njia baada ya discussion ya hapo juu. Nakiri udhaifusoma heading mkuu
Hizo jazba sasa, unajua siku hizi kuna shule nyingi saana. Kuanzia magazeti ya udaku, internet, tv nk. Katika age hiyo inawezekana watoto ndio walikuwa wanataka kujaribu so wnastahili adhabu. Wazazi wao wanastahili adhabu kwa sababu hawakumprotect yule mtoto vya kutosha.Kuwachanganya watoto wakubwa wa kiume na mtoto mdogo wa kike?, Wewe ni mshitakiwa namba moja hakuna utetezi wowote utakaoweza kukutoa kwenye kosa hilo labda kwa hakimu mla rushwa, nyie wazazi mnastahili kwenda jela.
Kabla ya kesi kuendelea watoto wote wakapimwe afya zao sina sababu ya kuuliza wazazi walikufa kwa ugonjwa gani.
Inaonekana kabisa watoto hawana uangalizi wowote na ni wanyama kupindukia nafikiri wamerithi tabia kwa wazazi wao wanastahili kwenda jela.
Inaonekana kabisa hii nyumba ni ya wapagani, watoto hawajui kama kuna dhambi wala nini.
KAMA NIMEPEWA KUTOA HUKUMU YA HII KESI WAZAZI NA WATOTO WOTE WANGEKWENDA JELA NA KUAMURU WACHAPWE VIBOKO HADHARANI.