We unampenda dada yako kweli?
We unampenda dada yako kweli?
Ukiwa na mtoto ni sawa na kuomba kazi ukiwa na criminal record au umefukuzwa kazi at last employment, lazima utoe maelezo nini kilijiri, Baba yake yuko wapi, kwanza ana baba huyo mtoto au ulichakachuliwa na stranger na kaingia mitini, mtoto ana umri gani, mliachana achana vipi na baby father, do you know his last name, jamaa ana show up at the front door kila weekend kuangalia mtoto au ni vipi? Je wewe unalipa kiasi cha ku offset hii stigma ya kuzaa zaa ki-single single?wadau habari zenu,
nina dada yangu ana miaka 34 ana mtoto mmoja hajaolewa anatafuta mume amechoka kuishi maisha y a upweke , kazi yake anajishughulisaha na biashara , ni mrefu wastani, mnene wastani , mweupe na ni mrembo and very hard working . atakayependezewa ntawaunganisha thanks
Hilo moja, la pili ni,wewe sio 'dada yako'?
anampenda,ndio mana anamsaidia,we husninyo vp?
wadau habari zenu,
nina dada yangu ana miaka 34 ana mtoto mmoja hajaolewa anatafuta mume amechoka kuishi maisha y a upweke , kazi yake anajishughulisaha na biashara , ni mrefu wastani, mnene wastani , mweupe na ni mrembo and very hard working . atakayependezewa ntawaunganisha thanks
Hahahaha... Nimecheka sana!Ukiwa na mtoto ni sawa na kuomba kazi ukiwa na criminal record au umefukuzwa kazi at last employment, lazima utoe maelezo nini kilijiri, Baba yake yuko wapi, kwanza ana baba huyo mtoto au ulichakachuliwa na stranger na kaingia mitini, mtoto ana umri gani, mliachana achana vipi na baby father, do you know his last name, jamaa ana show up at the front door kila weekend kuangalia mtoto au ni vipi? Je wewe unalipa kiasi cha ku offset hii stigma ya kuzaa zaa ki-single single?