My personal opinion: South africa atashinda AFCON

My personal opinion: South africa atashinda AFCON

Alicheza mechi mbovu Sana dhidi ya Zimbabwe labda tuseme alichoka Sana kutafta date dhidi ya agypt had akalala na viatu

Sidhan km atachukua
wewe unaona amestruggle ila ile ni quality, hata egypt unaweza sema alistruggle kwa zimbabwe but ni quality
 
Wanatimu nzuri lakini kuna makosa wanayafanya hasa katika ushambuliaji.
Mimi naona DR Congo wanaweza kuchukua kombe.
south wana beki nzuri sana, kiungo tu ndo tatizo kidogo naona mokoena kashamaliza mwendo
 
Back
Top Bottom