Kwahyo EU wataondoa haya uliyoyaropoka???? Yani wakusaidie ww mtanzania kwa kipi???? Hivi unajua the northers agendas in African countries??? Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????
Au unasema wapinzani wanakandamizwa hv ww hebu niambie hali ya upinzani ilivokuwa hapo nyuma kabla ya Magufuli???
Unataka kusema wakat huo wapinzani walifanya siasa kwa uhuru???? Umesahau ya DKT Slaa???? Lipumba??? Acha unafiki ndg usizani sie hatujui
Unasema tangu Magufuli aingie madarakni hali imekuwa ngmu unachekesha saaaa!!! Kwmba Magufuli kaingia madarakani watu hawafanyi biashara,, watu hawalimi kwa sababu kuna vita nchini??? Kwamba watu hawatembeleani koz hqki hamna!!! Watu hawqfungi ndoa koz no haki??? Kwmba watoto hawaendi shule koz no haki???? Kwqmba wanafunzi vyuo vikuu vimefungwa kwqmba no Haki na nchi haikaliki???? Watalii hawaingiii??no wageni koz tz haikaliki?????
Acha kumnafikia Eric katoa maoni yake binafs kama hujayapemda kaa kmya acha kupotosha watu tz bado iko moja na imeshkamana haijalishi kelel zenu za kinafiki wananchi wanajua tukp pamoja na Magufuli hadi mwisho wa Safari????
Kwanza umeshndwa kusema namna mnavyotumika na mabeberu unaegemea kutoa mmbo ya ajabu!!!
Yaaani unataka kusema watu waache kufanya kazi eti kisa hakuna demokrsasia ya mbowe kusimama jukwaani kuitukana serikali eti???? Kwmba mtu hana ajira,,, aache kwenda kulima,,, mtoto asiende Shule kisa wapinzani hawasimami majukwaani kuitukana serikali?????
Na kama ndo hvyo kwann EU hawakutoa matqmko juu ya kinachofanywa na Trump kuhusu kuwafukuza CNN kwenye mikutano yake mbona hujaongea hilo???? Mbona ww unatia soni hivyo?????
Rais wangu Baba yetu sisi tuko pamoja mungu atakupigania achana na wanafiki hawa wachache mungu yu pamoja nawe najua kazi uliyonayo Baba ila kamwe naomba usikate tamaa baba simama imara mungu atakulinda!!!
VivaShigongovivamagufulivivatanzania