My Open Letter to Eric Shigongo

Nafikiri ww ni Bendera fata upepo, wewe watu kupotea kwako kawaida, kupigwa risasi kawaida, maiti kukutwa kwenye viroba na kuzikwa bila kupima DNA wakati watu wamepotea kwako ni kawaida, vyombo Vya hbr kuzuiwa kuzungumzia uchaguzi na matumizi mabaya ya uchaguzi kwako kawaida, kuzuia mikutano ya vyama vya siasa kinyume na katiba kwako kawaida, haki ya binti kuendelea na shule kisa ujauzito kwako kawaida,viongozi wa upinzani kubambikizwa kesi za uchochezi kwako kawaida, Akili ya kuambiwa changanya na zako, Mikataba yote ya hovyo bila shaka ya ushoga alisaini upinzani? 7bu tunawasiwasi maana alipotangaza makonda vita dhidi ya ushoga serikali ilimkana,, hapo huitaji degree kujua km walisaini ushoga au lah,, Yapo mambo mazuri anafanya, lkn haki za binadamu hajali hilo ndio tatizo kubwa, Ndg yangu acha ushabiki, na akili za kuku, kwa jinsi ulivyosapoti ujinga wa shigongo, nimekutoa maana,
 
Kama mnatafuta fair mercy kwa kuangalia majirani unyama wao ndo na nyie mnatenda,basi this time imekula kwenu
Swala ni kuwafungua ufaham mliofungwa kuwa shida sio democracy shida ni MASLAI YAO YAMEBANWA.
 
Good analysis!!!
Eti good analysis!
Hapa duniani kosa vyote,lakini usikose akili,ukikosa akili hata kinyesi chako unaweza kukila na ukajenga hoja kutetea uchizi wako,kama ulivyokomaa humu tangu asubuhi kumtetea Magufuli,mtu ambaye uwezo wake wa leadership ni zero kabisa,EU isn't a single country, it's a Union of the great nations of Europe,nyie watu ni wapuuzi hasa, vichwa vyenu vimejaa funza,na mnastahili kunyongwa kwa kuandaa kuliua taifa kwa sababu ya ukilaza wa mtu mmoja asiye na sifa ya urais,China,The US,and Canada bow for EU and one another, ije kuwa nyie mbu?msio na mbele wala nyuma ?Duniani tunaishi kwa kutegemeana,hakuna aliyejiweza kwa yote,mlivyo wajinga mnawalaghai wajinga wenzenu eti siye ni sovereign state, ulaya isitutishe,meantime mnatumia ndege zao,madawa yao,pesa zao,silaha zao na nk,what a grotesque mind? Ni bora ukae kimya kuliko kuharisha humu ujinga wako.
 
Swala ni kuwafungua ufaham mliofungwa kuwa shida sio democracy shida ni MASLAI YAO YAMEBANWA.
Huna unalojua dogo,inafikia hatua nawaonea huruma sana,mkila mkashiba,mkanywa bia,mkavaa mkapendeza,mkaweka pocket money mfukoni ,tayari mnaona nchi nzuri sana,siku inakuja mtaomboleza
 
.
 
Ngoja waje wale wanaofikiria kwa kutumia tumbo
 
Nenda mahakamani ndg naona una mengi
 
Shigongo mshamba tu

Kama washamba wengine , tusihangaike nae
 
jamaa kaandika waraka wa kishoga sana

Hadi mwanangu swalehe amemshangaa
 
Foolish fool...maelezo marefu ujinga mtupu wa kutetea kitumbua
 
Acha upumbavu wewe mzee
 
Poole sana ndg!!!

Sasa Kati ya watu wenye nchi na wewe unayelalamika kila siku nani mjinga????

Kama hoja zako ni kuntu kwanini huna wafuasi sasa???? Kwann chama chako kisiingie madarakani??? Hapa nani mjinga???

Hv kichaa aje akukute uko unaoga then achukue nguo zako halafu ww uanze kumkimbiza ukiwa uchi nayey akiwa na nguo kichaa na mwehu hapo ni nani?????

Jifunze kuwa mstaarabu kwenye mijadala kama hii utakufa mapema ndg!!!! Kuwa na hekima ili uweze kupunguza uwezekano wa kuwaudhi watu wastaarabu wengne kwenye uzi wako?!!

Pia elewa wapo wanaokuzidi umri hvyo lugha hii syo Sawa ila hasra ztakuja kukuponza siku moja!!!!

Pia nashangaa kumtukana Magufuli kwamba ni dikteta wakat kwa maelezo yako haya ww ni booooonge la dikteta!!!

Wewe ni dikteta mkuuubwa mwache Magufuli apige kazi ndg
 
"There is no free lunch".
Nashangaa wanaopingana na rais wetu na kuunga mkono sela au matamko ya nchi za ulaya EU, sidhani kama hawa wana lengo jema kwa tawala zote zilizopita hapakuwa na kutofautiana je nini tulinufaika nacho toka kwao zaidi ya kuondoka na raslimali zetu? Kutuachia mashimo ya baada ya kuchimba dhahabu zetu, kacha marundo ya mchanga mwadui na kuondoka na almasi zetu? Kuondoka na maliasili zetu na kutuachia neti na kondom,.
To be honest watanzania inabidi tuaimame na rais wetu na tuwe tayari kwa lolote hapo ndipo tutapata economic freedom. In economic there ia no free lunch, we must be lead to pay for all bills.
 
Stop advertising your foolishness
 
Huyu jamaa Lucas philipo kanikera sana haf bado anajiita mwanaume
 
Maelezo yako hayafuti uhalisia kuwa wewe huna akili,umri wako haunihusu,mwombe Mungu akupe hekima kama mfalme Suleiman, Magufuli anapiga kazi ya kuvuruga uchumi wa nchi na kuua wote wanaompinga,na wewe juha muuaji una tetea.
Amefikia hatua ya kuuza nchi kwa Rwanda na kupewa ulinzi na Rwanda, sasa hivi kagame ana m remote atakavyo,na kwa sababu huna akili usiyefikiria kesho yako ndo maana kinyesi unaita keki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…