Nini hio misamiatii sasaa sijaelewa titivate/lateFirst, find new ways of titivating yourself.
Second, once he notices the difference he will be titillated.
Third, after he's titillated the job of getting him to pick other interests becomes easier.
NN hio misamiatii sasaa cjaelewa titivate/late
Jifunze kidogo kuhusu kazi yake
na wajue watu anao fanya nao kazi
ili uweze kumsaidia kwenye decision making....
ili muweze kuwa na kuongea ..ataweza kukushirikisha
mfano annaweza kukupa story ya watu wa ofisin
ukiwa unawajua japo sura utaweza say something kwa jinsi ulivyowasoma sura zao tu
au kama kuna decision inamsumbua kichwa unaweza ongea kitu
that way akiona unajua something utaweza kumshawishi kupunguza masuala ya kazi
sio sifa kuwa workaholic Tanzania hasa kama umeajiriwa...
workaholic nzuri ni ya kujiajiri
Yes, you titivate yourself in order to titillate him.
Once he's titillated, it's much easier to get him to go for a drink at a martini bar or some other place like that.
okayy dictionary imehusika,will do all kinds of titivation possible to titillate him
Nakusihii karne hii usichokoze mwendo huo...bora wewe uchukuwe Love,Dovie zako hadi kazini kwake maana usisubiri aje yeye!!najua and am happy kwa kweli,lakini naamini ni muhimu kubalance