Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,487
- 65,822
- Thread starter
- #21
Kula kiasi ukila sana kitambiAnakula mtoto au
Kula kiasi ukila sana kitambiAnakula mtoto au
Mkuu mi nakula sana ila sijawahi kuwa na kitambiKula kiasi ukila sana kitambi
Hakika mkuu, nikashushia na Maji ya kutoshaIna pendeza sana
Comment yako kama utani vile lakini ina🔨🔨Andaa Milioni Mbili Mshipa Mmoja wa Damu ukiziba.
Prof Janabi. JKCI
Kweli ila dar tuna shiba na kuachaKwa sisi wasukuma hiyo ni mboga lazima kuwepo Bonge la ugali pembeni
Bs mm natunza mwili nikijiachia kitambi kina kujaMkuu mi nakula sana ila sijawahi kuwa na kitambi
Mda wa tiziHakika mkuu, nikashushia na Maji ya kutosha
Hakijakuzidi wewe...Kizuri