my life is meaningless

Yeye mwenyewe anajiita gugu! Alianza kujikana sku nyigi. .

yaani kitendo cha KUFIKIRIA KUUTOA UHAI WAKE kisa mwanaume kimenisikitisha sana kwakweli, tena ni mmama huyo anafikiria hivyo, so selfish of her.
ukishakuwa mzazi, maisha yako tena a large part should be around the being uliomleta duniani. Kila kitu unachofanya unatakiwa umfikirie mtoto; sasa imagine mtu anataka kumuacha mtoto yatima tena anamuachia huyo mbaba ambaye yeye amekuwa abused kwa mtoto itakuwaje?
 

Kwanza pole kwa unayopitia, najua ni ngumu kuukubali ukweli kuwa yule uliyemuamini kwa asillimia zote sasa amegeuka na anakuletea mateso ambayo hukuyategemea. KUJIUA sioni kama ni suluhisho. Kwanza lazima ujue kuwa wewe ni mmoja kati ya wengi walioumizwa na huyo mdudu NDOA. Jipange, maisha yanawezekana bila yeye, sababu ya kuishi unayo ni mwanao. Wanawake wengi tunakosea tunapoamini kuwa NDOA ndio maisha, kwamba bila ndoa you are nothing, sio kweli. Usikubali MAPENZI yakualibie maisha, ndoa ni upendo, kama hakuna upendo, ndoa pia haipo. Hivyo achana na hiyo kitu. Muombe MUNGU atakusaidia kusahau maumivu yote na atakupa nguvu ya kuanza upya.
 

Ooooh very sorry, I know how you feel right now.I have passed in this situation last year,I cried cried cried but when I was looking on my daughter I was what ...let me be strong.Ngumu sana tena sana hasa kwa uliyempenda but sometime we need to let them go.Mlilie sana Mungu wako,mwachie matatixo yako yote nae atakupa njia,utafikia kipindi muda unavyoenda utamsahau na utajiona mjinga kwa nn uliumiza moyo wako.Angalia mwanao usimwaze mumeo kwa kuwa mwenzako hana upendo na wewe.Nakuombea sana
 
just leave him...hata kwa mwez mmoja atapata fundisho, inaonekana unampenda sana na hapo ana chulia advatenge kukuumiza
 
dada, mpaka kuandika hapa jf kuomba ushauri, u are a hero, najua utapata majibu hapa. u can not kill yourself sababu tu ya mwanaume ambae hajui thamani yako. umesema vema, una kazi nzuri, una mtoto.live your life na mwanao.

kujiua hutamuumiza huyo mwanaume, only people who loves you will get hurt, and for sure am one of them.
please please,..., muombe MUNGU yataisha.
 
wanawake wengine bana
unakaa na mtu .... hakupi mapenzi...pesa ,,hana adabu...hakuthamini..na bado unamlisha na kumuweka mjini...hana pa kwenda au nini?
naweza kumtukana
eti anataka kujiua? ina maana thamani ya huyo useless man ni kubwa kuliko uhai wake?
 

Hivi we dada una uhakika gani kuwa ukijiua utaenda kupumzika? Unaweza kuta huko adhabu yake itakuwa kukabidhiwa miwanaume 20 yenye roho mbaya mara 20 ya hilo ulilo nalo... Yaani uliweza kumuacha baba yako na mama yako ambo ni damu yako, unashindwa kumuacha huyo ambaye huna hata ukoo nae ukaenda kuishi kivyako? Unanichekesha...
 

Wewe huna mapenzi ya kweli, huyo gugu ndio mpango mzima, amempenda msela kwa moyo na kiwiliwili chake chote, yaani huyo mshikaji ndio alfa na omega wa Moyo wake, na ndio maana anataka kuondoka hapa Duniani kwa ajili ya Msela!
Hayo ndio mapenzi hata mimi na Partner wangu ni hivyo hivyo, niko tayari kuondoka hapa Duniani kwa ajili yake!

 
mfasirie baasi, maana mimi kidhungu labda kidogoo Jumamosi nikishapata Chivaz ndio naweza kujaribu.
Mzima rafiki?
ha haaa, mi mwenyewe sijatoa ushauri hapa unafikiri kwa nini?
J4 hii muda huu kuna kifdhungu kinapanda kweli? labda kusoma, kuandika! aku.....
gugu, njoo utuambie kama kiswahili kinapanda tukushauri, mi naogopa kupoteza nguvu zangu kuandika kitu ambachu hutaelewa.
salama rafiki, hofu kwako
 

Kama ndio tafsiri ya mapenzi hiyo, then you are very right; mapenzi ya hivyo sina na ninafuraha kutokuwa nayo. Nitafanya chochote kwa mtoto wangu lakini sio kwa mwanaume wangu.
 

nahisi kweli hakipandi maana haja-like wala ku-qoute ushauri wowote uliotolewa kwa kiswahili, so lucky you uliyeshtukia mapema.
 
nahisi kweli hakipandi maana haja-like wala ku-qoute ushauri wowote uliotolewa kwa kiswahili, so lucky you uliyeshtukia mapema.
mimi niliona mapema, anajibu za kidhungu tu, nikahisi hajui kiswahili....
labda tumwombe kakako/mumeo? The Boss aje akusaidie kutafsitri, maana naona yeye kimetoka
 
Last edited by a moderator:


ELEUWIIIIIII ujiue? kisa mtu? khaaa, kwani umezaliwa nae au ni mzazi wako tuseme atakuachia laana!!!!!!!
EBO ebu acha mawazo ya kijinga hivo..........
tena una kazi nzuri na miradi huyo mume ndio akusababishie uiage dunia........u cant be serious madam...
hebu tafuta wa kukuliwaza achana na mapresha utakufa bure......tuulize sisi wenzio tulifanyaje na tunaendelea kuishi kwenye ndoa na tuna vidumu vyetu vya kutuliwaza...aka babu.....hata arudi asubuhi we huna pressha.....na akiamua ahame akakae na vimada vyake huko...atajiju...
kwani we nani alikuambia umezaliwa ili uteseke? sasa kuanzia sasa achana na mawazo ya kujiua, huyo mwanao utamuachia nani amlee? panga maisha yako hapo hapo ulipo sio lazima uhame nyumba yako mama......siku hizi wadada sio wa kuonewa kama zamani bana......kama ye anapendwa kwani we hupendwi? tafuta wa kukuliwaza lkn endelea kuishi hapo hapo usiondoke na endelea na mipango yako na kazi zako kama kawaida......raha mbona utaipata tuuuuuuuu my dia na mawazo yooooooote kwishney....yani utamuona yeye km takataka tu aje asije shauri yake wala roho haikuumi, kwani na we si una wako? huo ndio mpango mzima my dia, vinginevyo utakufa na pressure bure my dia.....
na ukishakuwa na mtu wako wa pembeni utamuona atakavyobadilika mana hapo si unakuwa humfatiliii mambo yake tena, yeye sasa ndio anaanza kukufatilia ww....akijirekebisha unaachana na kidumu...akirudia nawe unarudia yaaaaaaaani hadi kieleweke.....
 
Sasa dada, hela unayo, ndoa chungu, mateso yako

Ni nini unafuata? Ukisubiri mtu mwingine akuhurumie dunia hii utakufa na kumwacha mwanao chokoraa. Kumbuka ataoa mke mwingine.

Achana na mambo ya kujionea huruma, gangamala uondokane na ndoa hiyo.
dah! jamani sijawahi kuwaza mimi eti hata kujinyima kula kisa kidume ,kwa mimi kila siku ni mpya hata kama ni 90yrs i strongly belive its not too late to start afresh!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…