FP mbona unakuwa mgumu kwa mambo yaliyo wazi?
Erickb52 sikushauri
Pole sasa dada mkuu Kongosho,
Hivi unajua kinachoongelewa hapa?
Mie nimeshindwa kumwelewa FP kwa sababu, hao jamaa wamevutiwa na Avatar na yeye anataka kuwapa eti hiyo tu!
Uko tayari kuona wadogo zako wanauziwa kivuli wakati mtu mwenyewe yupo?
Hapo ndipo babu kaanza kupata kigugumizi cha mikono na miguu!!
Babu DC!!
afadhali kaka mwenyewe umekuja kusaidia kutaja fwika, maana hapa naona wazee wanaweza hata kunitoa bure,lol!
mashemeji wenyewe ndo hao, wewe kama kaka mpendwa unamchagua nani kati ya TANMO na Erickb52 ? mnaweza kuteta na dada snowhite halafu mkanipa jibu. ila angalieni huko mtakakoenda kuteta asiwaone mtani platozoom
FP mbona unakuwa mgumu kwa mambo yaliyo wazi?
Ulimuuliza moto2012 akuchagulie akakuambia hamjui TANMO na ndio mara ya kwanza kumuona then akasema Erickb52 ndio chaguo lake sasa kipi hukielewi? Kisa kuanzisha thread? Lol Kwa taarifa yako tulianzisha wote kwa pamona Roulette ataziunganisha so tumenzisha wote!
Say Yes to b52 niendelee na taratibu nyingine achana na TANMO kwanza ni mume wa Preta
Wewe platozoom naweee yalikushinda tangu zamani hata ukaguzi umekushinda achana na mimi!
Wewe platozoom naweee yalikushinda tangu zamani hata ukaguzi umekushinda achana na mimi!
Halafu walio achika hawatakiwi hapa....wasiliana na Vin Diesel mkaanzishe chama plus Ruhazwe JR
Wewe platozoom naweee yalikushinda tangu zamani hata ukaguzi umekushinda achana na mimi!
Halafu walio achika hawatakiwi hapa....wasiliana na Vin Diesel mkaanzishe chama plus Ruhazwe JR
Heheheheeee na wewe mwanamke lolErickb52 sikushauri
Ni mme halali wa Amyner
Huwa anakula NSSF mwanzoni
Anakula Pensheni
Anadhulumu hadi wastaafu wa isti afrika
Ila anakufaa sana kimaisha na mahaba ya dhati
Huyu Tanmo yeye, ni tapeli tu, ila ndo keshapenda
Hata tapeli ana moyo wa nyama
Ila sikushauri kuwa naye TANMO kamwe
Profesa Jay alisema-aliyeuza cheni kauza bandia, aliyetoa hela katoa bandia
Hao vijana usiwaone, mioyo waliowekeza kwa FP ni ila ya kichina china.
FP mbona unakuwa mgumu kwa mambo yaliyo wazi?
Ulimuuliza moto2012 akuchagulie akakuambia hamjui TANMO na ndio mara ya kwanza kumuona then akasema Erickb52 ndio chaguo lake sasa kipi hukielewi? Kisa kuanzisha thread? Lol Kwa taarifa yako tulianzisha wote kwa pamona Roulette ataziunganisha so tumenzisha wote!
Say Yes to b52 niendelee na taratibu nyingine achana na TANMO kwanza ni mume wa Preta
mmeona majibu ya shangazi yangu nyie wapendwa wangu? haya sasa kazi kwenu kukanusha
huyo kajipa tu cheo, na ndo hapo utawajua mababu wa ukweli. tangu lini nikawa na babu kama platozoom? si angeringa sana? na ndo hapo angewanye awatu pombe zao mpaka wangekomba. lolYaani unaozesha mjukuu wako wa Alwatan??
Mababu wa sasa hivi nao wako bangeni?
haya nimekusikia, ngoja niyafanyie kazi mawazo ya wachangiaji + PM, maana ghafla inbox yangu hata haipumui...................... kulikoni?FP mi sisemi neno coz kama angekuwa na lolote ungeshamuona muhusika kaja kama mbogo
So kazi ni kwako madame