jamani mimi stress siziwezi jamani. kama mnavyojua sina kashfa, hii ni kwa sababu sipendi pressure, nimejitulia zangu kimya nasubiri mtu wa maana ndo nimpe moyo wangu
hivi leo hupiki?
hebu tuondolee kiwingu hapa!
Hehehehehee mi niko Day ParkNakula night park lol
ndo maana najitahidi kuwa makini, sitaki baada ya siku kadhaa nije na hii statement "Yaani mimi niko peke yangu,, very only me!!!
Mwenzangu anasema anataka kununua Fuso manake biashara ya kusafirisha wafanyakazi wa ndani ndiyo msimu wake huu, anadai
Heheheheee umesahau kuwa Bishanga nilimpora mkewe The secretary ?
Huko kwa mkewe ndio nilikochuma mali za Bishanga wakati huyu binti hasikii lolote juu yangu so baada ya kumwaga The secretary ndio nimejidhatiti zaidi bila utegemezi wowote
Ndio maana nimekuchagua @fp
Hebu nipe hii nafasi then uone tofauti ya maisha ya sasa na maisha ukiwa na b52 the real gentleman ever seen!
Utapata true care...true love...real happiness na kila kitu
naona mpambano mkali sana, wahisheni hizo cv wajomba na mashangazi waje wamalizie huu mchakatoAnd TANMO is that perfect Match..
Mwenyewe ulishawahi kusikia Skendo zangu?
Yaani niko mweupe peee, halafu very mtiifu, mwaminifu, mchapa kazi, mpenda maendeleo, Mkarimu..
Chagua TANMO ufurahie maisha..
mmppppphhhhhhhhuuuuuuuuuuuuu, afadhari rafiki yangu AshaDii umekuja labda utanisaidia, si unaona hawa watu wanavyogombana? sasa sijui nifanyeje, mimi nimewaachia wajomba na mashangazi waamue. ila wewe kama rafiki unaweza kunishauri, pleaseWapi Teamo aje abariki upendo hapa na kutoa darasa la "To love and feel loved" Lol. Hongera sana FP kupata admirer.. hahaha!
Nakula night park lol