Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
sawa kabisa, hizo fikira colleagues wa mr wanazo sana,ukimpitia jioni kumchukua wanaona kama watu tupo paradise mpaka wanamuuliza kama tumeshawahi hata kukaa nusu saa bila kuchekeana....mwenyewe akinihadithia hivyo ananiambia:"wangejua huyu chizi wangu nikimuazima mtu kwa dk 5 atanical nije nimchukue haraka iwezekanavyo"...naishia kufurahi tu mana anajua ana chizi na ndio chizi anamfanya tusonge na maisha vizuri.
kaazi kweli, yaani bi harusi anaona kashikwa mkono saa zooooteeeeee anadhani ndo kapata, kumbe jamaa linamlia timing flower girl! lol!
Ni muhimu sana kuangalia ni wapi mlikutana je mlipendana kwa dhati kabla ya kuoana au ww ulikua umeficha makucha yako baada ya ndoa ukaanza kuyakunjua?wanaume wanahitaji kubembelezwa dadangu.Vuta subira kumbuka aahdi ulizozitoa kanisani au msikitini wakati mkifungua ndoa.Vumilia mmbembeleze wanaume wadhaifu sana kwa nyie mpe mapenzi ya dhati hata kama akichelewa usimuwekeee uso wa mbuzi.we utaona tu kalegea then mnaongea baada ya hapo mambo yanasonga kama kawaida.
Nyamayao jibu la swali lako hili hapa
Nimejaribu sana kukaa nae chini kuongea Since he doesnt discuss issues wit me as they arise, it gets to a pt whr he explodes, & that normally results in him beating me, squeezing my neck, bruises evywhr. hhhmmmmmmmm, i pray God gives me the strenght to hang on here all the way ..

mimi na wewe ni sawa kabisa Nyamayao, yaani kabla ya kuliongelea swala mambo mengine hayaendi. napenda kuwa na amani ya moyo wangu, hata ukinidanganya ila tuwe tumeshaliongelea.
that is what we call faking... and many end up drunkards, killers, sick etcni vizuri uchizi wenu mkaonyeshana wenyewe, watu nje wanajua mpo perfect, kumbe mnajua wenyewe. I like that kwa kweli.
@FL1
ndugu yangu naomba niseme ukweli... the guy must be gay!!!
tulivyoumbwa na muumbam, huwezi kuwa kichwa cha nyumba halafu ukawa unahanjahanja bila kujua kiwiliwili kiko wapi... kama sio gay basi ni hawa spoilt boys na wako wengi sana, hawataki kuwa rsponsible na acts zao... they still think they are "mammy's boy"
to cut the story short, huyo bidada
[*]aweke mguu chini achape mbuga siku tatu tu, uone huyo jamaa atakavyovhenji
[*]then wakae chini, tena kiutemi kuweka protocols za ndoa yao
[*]tatu jamaa aseme huwa anaenda wapi
i have seen a case, kajamaa kanaenda kwao for a week halafu mdada analia, that is not just spoiling the boy, and by doing so, be sure that you are going to spoil the kids
Jamani hebu kina dada mama kwa upande mwingine tuangalie je inawezekana huyu mwanamke ana tatizo ndani ya ndoa yake ?
Kwa mwanaume kuondoka siku 5 na kurudi home bila kutaka maelezo yoyote inawezekana kagundua mambo ambayo mkewe labda amefanya na anashindwa kumwambia ?or The man is married secretly and that is where he spends his 5 days.
Si kawaida kwa ndoa ambayo haina hata mwaka mambo kuanza kwenda mrama namna hii utadhani wana 10 years
HOLY FIIIIIIIRRRE!!!May be is a Devil sprit ? :A S angry:

Pole sana kwa matatizo yaliyokupata (yaliyompata rafiki yako). Nashindwa nianzaje lakini naamini suluhisho la matatizo mengi yaliyonje ya uwezo wa mwanadamu siku zote ni Mungu. Inawezekana wewe si muani wa huyo tunayemuita Mungu lakini nakusihi chukua hatua mjaribu leo. Piga magoti, umlilie yeye aliyekupa mume ambadilishe. Kuvunja ndoa siyo mwisho wa tatizo. Hakuna aliyeiona kesho isipokuwa Mungu peke yake. Hujui nini kitatokea next baada ya kuvunja hiyo ndoa iwapo utaamua kufanya hivyo. Nakushauri, ikiwezekana wala usiseme naye juu ya hilo kama mwenye anavyosema wewe Sema na Mungu. Mwambie Mungu yeye ni jibu la matatizo yote. Atambadilisha kuanzia jinsi anavyofikiri mpaka matendo yake. Atampa hekima na upendo. Unapoamua kumtegemea Mungu, jitoe mzima mzima, usichanganye mambo. Usilie, usihuzunike jibu lako lipo kwa Mungu. Mungu anakupenda, anakuwazia mema siku zote. Mungu akusaidie.
ni vizuri uchizi wenu mkaonyeshana wenyewe, watu nje wanajua mpo perfect, kumbe mnajua wenyewe. I like that kwa kweli.
sawa kabisa, na kutudanganya wanatudanganya coz kama kakosea hawezi sema ukweli 100% kuzuia bomu kulipuka, but atleast tumeliongelea.
Huyu sasa asimtie Mungu majaribuni................. strength gani sasa anayoiomba? am-rest in peace? aache ujinga, huo mimi nauita ujinga. kwani hana kwao? si arudi ajipange upya? huyo mume ndo kila kitu? kama kila kitu chake ndo hivyo, yupo tayari kupoteza maisha? c'mon, atumie akili zake na yeye