Tunahusika na kufanya usafi nyumbani, ofisini, ukumbini na popote pale panapohitajika. Gharama za usafi wetu zinategemea na ukubwa wa eneo, pia kama unasumbuliwa na wadudu wasioisha tunaku-connect na watu wetu wazuri sana kwajili ya fumigation katika eneo lako.
Nb: hata ukihitaji kupata huduma ya kusafishiwa bustani tunafanya pia.
#kwa sasa tunapatikana Arusha.
Karibuni sana.
Nb: hata ukihitaji kupata huduma ya kusafishiwa bustani tunafanya pia.
#kwa sasa tunapatikana Arusha.
Karibuni sana.