My harddrive does not read cd/dvd | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My harddrive does not read cd/dvd

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KasomaJr, Dec 12, 2011.

 1. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Habari yenu wana-jf. Naombeni msaada wandugu. CD ROM yangu haisomi cd/dvd na imekuwa sometime inachagua baadhi ya cd. Naombeni msaada nifanyeje.
  Laptop langu ni hp pavilion entertainment pc.
  Asanteni na subiri ushauri na msaada wenu.
   
 2. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hard drive au cd room kama ni cd room imeshakufa hiyo badili tu nyengine
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  try to clean the lens first. But kuwa mwangalifu cuz lens cleaner nyingine huwa zinaharibu lens. But kama tatizo likiendelea itakubidi uchange cd rom.
   
 4. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Asante Fatma Bawazir kwa ushauri wako na correction or error....i meant CD Rom my dear.
   
 5. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Asante kwa input yako mkuu, lakini hujaniambia natumia nini ku-clean lens. nahisi shida ipo hapo, itakuwa haiwezi kusoma, inajaribu mara kadhaa lakini inagoma mwisho wa siku.
   
 6. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  nunua cd lens clener
   
 7. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Ukinunua CD Lens cleaner utapata maelezo jinsi ya kutumia
   
 8. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  ila zaidi ya yote kaa ukijua hiyo ndo inakufa hivyo..hizo ndo dalili zake siku zote...!! so get prepared to buy a new one mkuu..!!
   
 9. P

  Paul S.S Verified User

  #9
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Upo sawa mkuu
  Yangu ilianza hivyo hivyo nikanunua cleaner ikafanya siku mbili tatu mwisho ikafa kabisaaa haisomi chochote
   
 10. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #10
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Nununa Cd lens cleaner. pia jaribu kuchunguza ni CDs zipi zinasoma kwa taabu, Original CDs au ni copies CD RW/ CD R, kama ni hivyo basi lens inaelekea kufa, imekuwa weak, jaribu kutumia copies ambazo copying imefanyika kwa speed ndogo kwa mfano 8X or 12x
   
 11. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ASANTE WOTE KWA USHAURI WENU.....HITIMISHO NALOPATA NI KWAMBA MACHINE IMECHOKA INAHITAJI NEW BRAND LAPTOP. BILA SHAKA MTANIPA OPTIONS NZURI ZA SPECIFICATIONS. MY FAVORITE NI KAMA IFUATAVYO
  1. HP
  2. NATUMIA INTERNET SANA KWA KU DOWNLOAD SOFTWARE, VITABU NK
  3. NA DOWNLOAD SANA MOVIE
  4. NAPENDA SPEED KUBWA MNO, YAANI ONE CLICK NGOMA INASHUKA, HASA KWA INTERNET NA SPEED YA MACHINE PIA.
  5. NATUMIA SANA WEBCAM
  6. NATUMIA SOFTWARE MAALUMU KWA KUPIGA SIMU NDANI NA NJE YA NCHI.
  7. NATUMIA ADOBE PHOTOSHOP (GRAPHICS SANA)

  Kwa maelezo hayo hapo juu naombeni sana ushauri wa machine gani, ukubwa gani, speed nk itanifaa kupiga mzigo. Sitaki kabisa kugusa machine ya ofisi kwa issue personal hata kidogo.
  ASANTENI.
   
 12. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Kumbe CD/DVD ROM haina kazi kwa mahitaji yako
   
 13. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  nahisi kama nakujua vile,,,
   
 14. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #14
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  HP PAVILLION DV6 6050ee..
  iko powah itakufaaaaa,it very nice laptop,it is the one ninayotumia mimi
   
 15. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #15
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  me naona asingeomba msaada kama hana matumizi nayoo
   
 16. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #16
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  ndio mimi
   
Loading...