My government, this is too much! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My government, this is too much!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bakuza, Nov 22, 2011.

 1. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  [FONT=&amp]Serikali na wizi huu hapaaaaaana!!!![/FONT]

  [FONT=&amp]Ktk hali isiyo ya kawaida jana nilifanikiwa kuona salary slip ya mwezi uliopita ya rafiki yangu akiwa analalamikia makato yaliyofanywa bila yeye kujua ni ya nini maana pale wameandika Nanukuu "MCHANGO MAALUM"mwisho wa nukuu,bila kutaja hiyo maalum ni kitu gani.

  Nikajisemea moyoni sikubali mpaka nijue haya makato ni ya nini.nawasilisha kwenu Ndugu zangu wenye kujua hili tujuzeni isije ikawa wanachangia vikao vya CCM huko Dodoma.

  [/FONT]
  Maskini ya Mungu huyu jama ni mwl na anaonesha hajui pa kuanzia kujua sababu ya makato hayo na si peke yake bali ni walimu wengi ambao jana walikuwa wakilalama.

  Saidia wanyonge hawa wajue pesa yao iliko elekea.

  Nawasilisha.......
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  walimkata shs ngapi_kwenye huo mchango maalumu...to start wth....
   
 3. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ilitegemea kiasi cha mshahara kwa niliyeona pay slip yake ni 2500/= sijui wengine walikatwa kiasi gani
   
 4. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mambo ya ku deal na serikali usifuatilie hii 2,500. utatumia zaidi ya hii.

  labda ufanye tu kama mwana harakati.
   
 5. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ndiyo hii ni ndogo kwa kila mmoja ila ukizidisha na wafanyakazi wote waliokatwa ni pesa nyingi sana.na si makato hayo tu mwingine ameonesha wamekata pesa kwa ajiri ya Envelope,etc.
  what does it mean Vivian.Mimi simo ktk makato hayo bali ni kujua tu watumishi hawa wanachofanyiwa na serikali yao.
   
 6. m

  massai JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Acheni kulalama,mnafikiri huyo RZ1 hayo magari ya kubeba abiria na vitega uchumi vyote anavyomiliki anatoa wapi?????hakika walimu wa TANZANIA hii wangeungana katika mgomo na kuisuport chadema hiyo dhulma isingekuwepo.utidharau hiyo 2500 alakini ukiizidisha mara laki moja ndipo utajua uwingi wake,sidhani kama nchi hii kunamtu anadharaulika na kunyanyaswa kama mwalimu.............unganeni walimu mpiganie haki yenu ya msingi.
   
 7. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tuungane kuwaelimisha maana hii kazi ni yetu sote.Revolution is coming soon.
   
 8. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  mwajiri hana mamlaka ya kumkata mshahara mwaajiriwa bila idhini yake
  waungane watafute wakili wafungue shauri la madai waombe na rejesho na riba
  na pia serikali iwajibike kuwalipa fidia zidi.
  huu ni uhuni wa waziwazi.
   
 9. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  asante mkuu
   
 10. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama ni kweli
   
 11. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  waungane kumwona wajiri wao kupata ufafanuzi wa makato hayo wakinyamaza kila mwezi itakula kwao
   
 12. h

  hubby Member

  #12
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unachangia maendeleo ya nchi. tunataka kuthubutu zaid, tutaweza na tutasonga mbele mpaka wananchi mtugadaffi.......haha...ha ha........aaaaa.
   
 13. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Yuda Iskaliot bado mpo wengi.Yaani Fungwe unabisha bila kuumiza kichwa chako kufikiria pole.
   
 14. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  imekaa kinadharia saana!
   
Loading...