My GOD Kumbe Leo................

My GOD Kumbe Leo................

Fisherscom

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2008
Posts
1,913
Reaction score
1,036
Duh! Wadau huu ugumu wa maisha na wingi wa majukumu umepelekea kusahau kabisa siku hii muhimu sana katika maisha yangu....hii ni hatari aisee. Hadi kufika 2015 tutakuwa tunasahau mambo mengi ya msingi. Ni siku yangu ya kuzaliwa jamani. Lets celebrate together wandugu na jamaa.
 
sahau birthday zote lakini si ya wife.... chezea mzungu wa 7 veve.... happy birthday arif
 
Mpendwa Husninyo ni maika mingii imepita,ule mwaka mvua nyingi ilinyesha teh teh unakumbuka?
 
Hapana mkuu Tongah siumwi,mawazo tu ya ugumu wa mlo mpaka nimesahau kuwa nimezaliwa hii tarehe teh teh:-*
 
Thank u watu8,sijui mkifika watu 10 itakuwaje....teh teh just a joke :A S 39:
 
EEE nimekumbuka,mwaka huo huo watu8 kausema @ Husninyo lol
 
Afadhali unisaidie watu8 maana Husninyo kanibana kweli jamani
 
Back
Top Bottom