Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,913
- 1,036
- Thread starter
- #21
hiyo sio zawadi ya ushindi kweli!!!
Ulijuaje mkuu?
hiyo sio zawadi ya ushindi kweli!!!
Teh Teh..........kupatia mwaka ndio ushindi wenyewe
aaaaahhh... hiyo zawadi bora nijipe mwenyewe... lol.
sahau birthday zote lakini si ya wife.... chezea mzungu wa 7 veve.... happy birthday arif
hadi ataje mwaka.... nisije nikampa zawadi iliyomzidi umri bure.
Duh! Wadau huu ugumu wa maisha na wingi wa majukumu umepelekea kusahau kabisa siku hii muhimu sana katika maisha yangu....hii ni hatari aisee. Hadi kufika 2015 tutakuwa tunasahau mambo mengi ya msingi. Ni siku yangu ya kuzaliwa jamani. Lets celebrate together wandugu na jamaa.
Tarehe ameisahau. Mwaka ataukumbuka?
Happy Birthday Fisherscom
Ulijuaje mkuu?
Hahahah huyo ni shemeji wangu ujue...mikogo yake yote naijua
Hahahaha umeomba msada kwa w2 8 subiri!Afadhali unisaidie watu8 maana Husninyo kanibana kweli jamani
Watu wameshajibinafsishia mapema hivyo,duh!
Hahahaha umeomba msada kwa w2 8 subiri!