My future wife

My future wife

Joined
Nov 7, 2015
Posts
7
Reaction score
8
Mke wangu mtarajiwa,najua uko sehemu salama ukivuta muda na jamaa mwingine kabla hatujaoana. Lakini kabla sijakuweka ndani Ninayo machache ya kukueleza..

1. My future wife, Jiandae kuwa mother material wala sio mom material.. usipaniki ntakuelewesha nachomaanisha, Mke wangu mpendwa mmeo, ntakuwa father wala sio daddy kwa watoto wetu ,usishangae nitawalea watoto wetu katika malezi ya tamaduni za kiafrika zaidi, hivyo kwa hilo ntakuwa conservative. Ningependa kukuona ukiwa mother wala sio mom ukawalea watoto kwa tamaduni za kigeni.

2. My future wife, ntakuoa kutokana na uzuri wa asili uliojaaliwa na Mungu, hivyo bhas usitarajie kupata wasaa wakujipachika kope na kucha za bandia wala mawigi (nywele za marehemu).

3. My future wife, huko uliko ni vyema ukaanza kujifunza kuendesha biashara na kusimamia, mmeo siamini katika kuajiriwa Bali kujiajiri.

4. My future wife Siku tutakayokula kiapo kanisani, tutafanywa kuwa mwili mmoja, hivyo bhasi nisingependa tuje kutenganishwa na password kwenye simu zetu (no password).

5. My future wife, madhehebu yote hukiri kuwa MUNGU ni mmoja tu, hivyo bhasi nisingependa kukushuhudia ukihama madhehebu mbalimbali kutafuta ukombozi kwa MUNGU yuleyule.

MY FUTURE WIFE, msalimie sana huyo mnayevuta nae muda kwa kwenda samaki samaki, nyamachoma na fiesta, mie ntakupeleka kanisani na kukuweka ndani.

Kwa ushauri na maoni nicheki 0762420443.
 
Sasa huyo my future wako ndo akutafute na kukuomba maoni ama hata wengine tunakaribishwa kuomba maoni?
 
Hahahaaa...jmn umenfurahsha sana,inaelekea we ni disgner mzur sana e
 
Siku hizi ni mwendo wa kidijital tu sasa maana hakuna namna.
Go Magufuli go, ulipo tupo.
 
Last edited by a moderator:
my future husband huyu kabisa yaan hamna kilichobaki 99% hyo 1% namwachia mungu
 
Mke wangu mtarajiwa,najua uko sehemu salama ukivuta muda na jamaa mwingine kabla hatujaoana. Lakini kabla sijakuweka ndani Ninayo machache ya kukueleza..

1. My future wife, Jiandae kuwa mother material wala sio mom material.. usipaniki ntakuelewesha nachomaanisha, Mke wangu mpendwa mmeo, ntakuwa father wala sio daddy kwa watoto wetu ,usishangae nitawalea watoto wetu katika malezi ya tamaduni za kiafrika zaidi, hivyo kwa hilo ntakuwa conservative. Ningependa kukuona ukiwa mother wala sio mom ukawalea watoto kwa tamaduni za kigeni.

2. My future wife, ntakuoa kutokana na uzuri wa asili uliojaaliwa na Mungu, hivyo bhas usitarajie kupata wasaa wakujipachika kope na kucha za bandia wala mawigi (nywele za marehemu).

3. My future wife, huko uliko ni vyema ukaanza kujifunza kuendesha biashara na kusimamia, mmeo siamini katika kuajiriwa Bali kujiajiri.

4. My future wife Siku tutakayokula kiapo kanisani, tutafanywa kuwa mwili mmoja, hivyo bhasi nisingependa tuje kutenganishwa na password kwenye simu zetu (no password).

5. My future wife, madhehebu yote hukiri kuwa MUNGU ni mmoja tu, hivyo bhasi nisingependa kukushuhudia ukihama madhehebu mbalimbali kutafuta ukombozi kwa MUNGU yuleyule.

MY FUTURE WIFE, msalimie sana huyo mnayevuta nae muda kwa kwenda samaki samaki, nyamachoma na fiesta, mie ntakupeleka kanisani na kukuweka ndani.

Kwa ushauri na maoni nicheki 0762420443.

Boooooonge la tekniki hongera Mkuu umeuaaaaa
 
Mtego mtambuka katika Ubora Uliotukuka.. Nakuomba upite hapa wewe nanihii
 
Watu wengine bana yaani unataka kwenda public toilet kwa vile umeona watu nje unajizungusha zungusha na vyoo viko vingi eti unaona aibu kijana si ulipe tu ujisaidie utajinyea ww. Fungukaaa
 
Back
Top Bottom