sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Yaani hii mikunjo mnayotukunjaga sio kabisa, kweli wanaume sio watu wazuri kabisaaaa!!
Mweeeeh.....
Angalau zitait kidogo...
Ba100
Yaani hii mikunjo mnayotukunjaga sio kabisa, kweli wanaume sio watu wazuri kabisaaaa!!
Hii ni nzuri sana! back to our basics
Ndio maana naipenda jf ucpofurahia posti utafurahia majbu ya watu ?????
khaaaaa!! Mkuu kumbe wewe ni ke???
...huyo future wife inawezekana anakula koni ya mwanaume mwenzio saivi...ptyuuu...
...worse kabisa, isije kuwa anampa "express yourself" mda huu..
..future wife/hubby amekuwa for public consumption asee, pole!!!

Nilikuwa "piririf" mamaa...narudi kulala.Haya rudi kulala! Yaani nisipinduke kidogo tu ushachepuka!!
Nilikuwa "piririf" mamaa...narudi kulala.
Haya my @stories, me luv u sana...ahadi ni deni!!teh!!!
Teh teh...haya geuka huku nile vyangu kwanza, uchu wa wiki nzima..Na utanilipa nakwambia.
Mkuu, always hit the nail on the head, utaishi kwa raha.Huwezi kuwa na mawazo mazuri ndugu
Teh teh...haya geuka huku nile vyangu kwanza, uchu wa wiki nzima..
Kijana, kwani hata wewe si unawakunja tu...Khaa..alafu bado wananishauri harusi..sioi leo sioi kesho wala mtondogoo!!