Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Acha maneno mengi namba ile pale juu
mkuu ila umenizodoa sana duu
Acha maneno mengi namba ile pale juu
Mtego mtambuka katika Ubora Uliotukuka.. Nakuomba upite hapa wewe nanihii
Amaaa umezungukaa
hahahaha simple and clear sema unatafuta mchumba
Kama vile igizo kama vile tongozo
Mtego mtambuka katika Ubora Uliotukuka.. Nakuomba upite hapa wewe nanihii
Ulishapona lile jeraha la moyoni mkuu?
Ahaa haaa nani huyo mkuu
My future wife usijali nipo namkunja mke mwenzio hapa
Hahahaaaaa! My future husband nami ndio nimetoka kukunjwa na mume mwenzio hapa!! Khaaah jf is never boring!
Umekunjwa namna hiyo best? 😉
mkuu ila umenizodoa sana duu
Umekunjwa namna hiyo best? 😉
mzuka umekata gafla
Yaani hii mikunjo mnayotukunjaga sio kabisa, kweli wanaume sio watu wazuri kabisaaaa!!