mm jamani kwenye hilo sanduku la posta imekua kikwazo kikubwa kwangu....nasina hilo sanduku la posta ss cjui niagize vp ili kinifikie...na nikiagiza bila sanduku la posta ntajuaje kma mzigo umefika....
Kafungue nasikia ni kama elf 15 ivi

Yes ni kweli kabisa nimepata power bank ya bure yenye uwezo wa kuhifadhi 12000mah
Kafungue nasikia ni kama elf 15 ivi
Hiyo cjawahi jaribu mkuu ila ntajaribu kununua kitu cha bei rahisi then nisiandike address then nione kama utafika
Jaribu mkuu mimi niliagiza charger ya ipad na hdmi cable sikupewa tracking number na nimeshapokea mzigo wangu ndani ya wiki 3
ulikuja kwa njia ya posta au HDL ? IPI NJIA RAHISI YA KUPATA MZIGO WAKO KWA MUDA MFIPI