Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
hapana kaka merchant anaangalia address uliyoandika kwenye purchase invoice form,kwamfano,.. Ebay wanatumia user address na sio paypal address.., ukienda kila store wanakupa option ya shipping address.,paypal ni payment method and not shipping method mkuu. hata dell,applestore na almost store zote nilizotumia mwisho wa kucheck out ili ununue item lazima uletewe shipping address,hapa sas ndio unatumia myus address yako.,hope umenielewa mkuu
mkuu unaexperince na usumbufu wa hay amajamaa, mimi mzigo kutoka kanada umeschukua miezi si chini ya mi 5, ndio nikaupokea 30/12/2013, wanahila sana, walinisumbia na hiyi TINdonlucchese
Edit uzi basi utupe full details uliagiza kitu gani?
Kimefika baada ya siku ngapi?
Ushuru umelipa kiasi gani?
Maana nimeona hiyo ni FEDEX mm nikiagiza mzigo kwa DHL wanakaa nao TRA mpaka mwezi ufike mara ohhooo sina TAX Indentification number(TIN) na vikwazo kibao sijui wanataka cha juu
uko sahihi kaka,na umefanya poa kuweka hiyo address kama primary.,sas kila utakacho nunua kitapelekwa kwenye address yako ya marekani kisha watakujulisha kuwa wameupata mzigo wako na watataka uchague shipping method ya kuja Tz,.hapo ndo ma DHL FedEx yanahusika,.you are on the right track mkuu.,well doneNimekusoma mkuu sasa kimbimbe kingine kinakuja shipping adress niliyoweka imetofautiana na niliyotumiwa kwa vitu baadhi sasa sijui haina shida hiyo?
Hii ndo niliyotumiwa
Baada ya kujaza Ebay inatokea hivi
sio kweli kabisa.... DHL wanakuletea mzigo na wao wako responsible kukulipia tax na kila kitu kazi iliyobaki kwako ni kuwa na Tin number TU! na kama una leseni (driving license) basi by default tayari una Tin number kama nilivyoeleza awali., hapa chuo watu kibao wananunua vitu mpaka wallet online na within a week vishakuja.mkuu unaexperince na usumbufu wa hay amajamaa, mimi mzigo kutoka kanada umeschukua miezi si chini ya mi 5, ndio nikaupokea 30/12/2013, wanahila sana, walinisumbia na hiyi TIN
mkuu unaexperince na usumbufu wa hay amajamaa, mimi mzigo kutoka kanada umeschukua miezi si chini ya mi 5, ndio nikaupokea 30/12/2013, wanahila sana, walinisumbia na hiyi TIN
Okoa nguvu na muda tafuta mtu unaemuamini US nunua kitu from eBay, Amazon au site yeyote ile ship kwa address yake then yeye akutumie we bongo kwa posta. Ni rahisi na nafuu, hutakuwa na haja ya kulipia hiyo physical address.
uko sahihi kaka,na umefanya poa kuweka hiyo address kama primary.,sas kila utakacho nunua kitapelekwa kwenye address yako ya marekani kisha watakujulisha kuwa wameupata mzigo wako na watataka uchague shipping method ya kuja Tz,.hapo ndo ma DHL FedEx yanahusika,.you are on the right track mkuu.,well done
tupe feedback mzigo ukikufikia,usiogope hata zile store kubwa sasaunaweza kufanya shopping,ebay sasa inakuwa absolete kwako una mwanya wa kuagiza hata Tv kutoka samsung website na ikaja straight within 1 bussines week,kwa mali za gharama kama tv,laptop anything expensive tumia sana DHL na FedEx,.usps tumia kwa vitu vya kawaida.,
you are good to go..
joe out..
sio kweli kabisa.... DHL wanakuletea mzigo na wao wako responsible kukulipia tax na kila kitu kazi iliyobaki kwako ni kuwa na Tin number TU! na kama una leseni (driving license) basi by default tayari una Tin number kama nilivyoeleza awali., hapa chuo watu kibao wananunua vitu mpaka wallet online na within a week vishakuja.
mzigo wako ukifika kenya tu hata kabla haujaingia Tz unapigiwa simu kuwa unakuja,ukifika dar unapigiwa simu utoe Tin number,DHL wanalipa all required tax an within siku 3-4 unapigiwa simu na DHL uje kuchkua mzigo wako,ukifika pale utalipia cost zote walizoingia kulipa TRA costoms ndio wanakupa mzigo wako,kama huna hela wanakaana mzigo wako mpaka ulete pesa yao.
tunarudi katika suala la muhimu la WEKA NAMBA YA SIMU KWA SELLER WAKO ILI IWE RAHISI KUJUA KAMA MZIGO UMEFIKA.,pia MWAMBIE SELLER AKUPATIE TRAKING NUMBR,IWE DHL AU FEDEX AU USPS WOTE WANA TRACKING NUMBER ili ujue mzigo wako umefika wapi na umetoka wapi.,
DHL hawana zengwe kabisa SHIDA yao ni moja tu GHARAMA MNO (DHL IS VERY EXPENSIVE) TU.....hata sellers wanajua
GET YOUR FACTS RIGHT..
joe out....
ooooh..basi huna shida tena kaka.,as long as mzigo umefika wafuate ofisini kabisaa physicaly..Inategemea kaka...mm mzigo wa kwanza hawakuniomba TIN namba mzigo wa pili wakaniomba hiyo TIN nikasema mm sijui hii ni kitu gani waka assume mm mwanafunzi na wakatumia TIN in the name of chuo ambacho nilitumia adress yao...TRA wakagoma na DHL hawakunipigia simu wala nn wakati mzigo una namba...nimewapa TIN number kesho week inakata bado hamna response zaidi naona customs status updated siku niliowapa TIN siku zilizo baki wameweka clearance....yaani DHL nawachukia japo mzigo unawasili within 2 days
mmmmh i think samung hawana official site for sale hawa
dah!! kaka hii thread ni kwa wale wengi tusio na ndugu jamaa au marafiki nje A.K.A 99.9% ya watanzania.. ahsante kwa ushauri ila hii kwetu naona ndio njia safi na insured, pia hata wao wanaship posta,the choice of shipping method ni yako mkuu.,. karibu Tanzania kakaOkoa nguvu na muda tafuta mtu unaemuamini US nunua kitu from eBay, Amazon au site yeyote ile ship kwa address yake then yeye akutumie we bongo kwa posta. Ni rahisi na nafuu, hutakuwa na haja ya kulipia hiyo physical address.
VERY GOOD OBSERVATION kaka.,pia amazon iko recomended na watu wengi wa nje kuliko ebay na ni cheap zaidi,. pia ni nzuri zaidi kwa sisi wa myus maana ipo usa shipment ni siku moja au masaa tu kwenda kwenye myus addresses na normaly ni free so low shipping costs.,,ebay iko poa sema wachina wengi and i normaly dnt trust hong kong sellersIla bado naona Amazon bei za simu rahisi ki ukweli sana sana hizi samsung..nilikuwa nacheki Samsung Android duos bei zake nimezipenda itanibidi kuagiza from there
Daah kaka umeelezea vizuri sana. Respect sanauko sahihi kaka,na umefanya poa kuweka hiyo address kama primary.,sas kila utakacho nunua kitapelekwa kwenye address yako ya marekani kisha watakujulisha kuwa wameupata mzigo wako na watataka uchague shipping method ya kuja Tz,.hapo ndo ma DHL FedEx yanahusika,.you are on the right track mkuu.,well done
tupe feedback mzigo ukikufikia,usiogope hata zile store kubwa sasaunaweza kufanya shopping,ebay sasa inakuwa absolete kwako una mwanya wa kuagiza hata Tv kutoka samsung website na ikaja straight within 1 bussines week,kwa mali za gharama kama tv,laptop anything expensive tumia sana DHL na FedEx,.usps tumia kwa vitu vya kawaida.,
you are good to go..
joe out..
ahsante joel kwa maelezo mazuri. Kwa mfano seller kaandika pale free shipping worldwide. Kwa uelewa wangu hapo MyUs haina haja kwa sababu utakuwa una incur gharama isiyo na lazimafree shipping ni kutoka mzigo ulipo(seller location) kwenda Myus addresss uliyopewa, myus watakujulisha mzigo wako ukifika then utawapa method ya wao kukufikishia mzigo,either DHL,FedEx,EMS and others
Kaka umeongea as if kila mtanzania ana ndugu USOkoa nguvu na muda tafuta mtu unaemuamini US nunua kitu from eBay, Amazon au site yeyote ile ship kwa address yake then yeye akutumie we bongo kwa posta. Ni rahisi na nafuu, hutakuwa na haja ya kulipia hiyo physical address.
ahsante joel kwa maelezo mazuri. Kwa mfano seller kaandika pale free shipping worldwide. Kwa uelewa wangu hapo MyUs haina haja kwa sababu utakuwa una incur gharama isiyo na lazima
Daah kaka umeelezea vizuri sana. Respect sana