My first ebay Shipment

My first ebay Shipment

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,130
Our records indicate that the following
shipment has been delivered:
Reference:
326-977-201312261019-1540540
Ship (P/U) date:
Dec 26, 2013
Delivery date:
Dec 31, 2013 2:21 PM
Sign for by:
K.MAGRETH
Delivery location:
DAR ES SALAAM,
Delivered to:
Receptionist/Front Desk
Service type:
FedEx International Economy
Packaging type:
Your Packaging
Number of pieces:
1
Weight:
1.10 lb.
Special handling/Services:
Deliver Weekday
Tracking number:
797503032066
Shipper Information
SARASOTA
FL
US
Recipient Information
DAR ES SALAAM
TZ
 
mzigo kutoka US umechukua muda gani??
 
mzigo kutoka US umechukua muda gani??

mkuu mimi nimepurchase physical adress ya US ambapo shipments zangu zote zinaenda kwenye hiyo US adress then ndo wananitumia TZ mpaka ofcn kwa bro, imetake like 5days kutoka states mpaka hapa bongo
 
donlucchese

Edit uzi basi utupe full details uliagiza kitu gani?
Kimefika baada ya siku ngapi?
Ushuru umelipa kiasi gani?

Maana nimeona hiyo ni FEDEX mm nikiagiza mzigo kwa DHL wanakaa nao TRA mpaka mwezi ufike mara ohhooo sina TAX Indentification number(TIN) na vikwazo kibao sijui wanataka cha juu
 
kaka sijalipia ushuru kiasi chochote, hiyo company nimejiunga nayo wameship directly mpaka ofisin kwa bro. ni samsung galaxy Epic 4G used kwa $30
 
kaka sijalipia ushuru kiasi chochote, hiyo company nimejiunga nayo wameship directly mpaka ofisin kwa bro. ni samsung galaxy Epic 4G used kwa $30

Company gani tena?
Waweza toa link ya hiyo 30$ ilituicheki maana mm hii simu nimeisikia leo
Je umeitumia tayari kuona iko fresh?
 
mkuu mimi nimepurchase physical adress ya US ambapo shipments zangu zote zinaenda kwenye hiyo US adress then ndo wananitumia TZ mpaka ofcn kwa bro, imetake like 5days kutoka states mpaka hapa bongo
Hebu fafanua hapa mkuu: kununua physical address marekani na wewe uko bongo unafanyaje fanyaje?
 
Company gani tena?
Waweza toa link ya hiyo 30$ ilituicheki maana mm hii simu nimeisikia leo
Je umeitumia tayari kuona iko fresh?

kaka ni Galaxy S II Epic 4G, niliinunua used af ina cracked display japo ina f(x) fully kama kawa ndomana ikawa cheap kiivo!
 
Kwakweli hapo tunahitaji maelezo yakutosha ili tuingie mzigoni,hapo kwenye physical adress ya us,cjaelewa umefanyaje hapo,ilishaishi hapo,una mtu au compy gn uliyo tumia mpaka reseller wa ebay akatuma huko kisha hiyo cmpy ikatuma bongo,cjaelewa hapo ikikuaje
 
Hebu fafanua hapa mkuu: kununua physical address marekani na wewe uko bongo unafanyaje fanyaje?

ni simple tu mkuu,
ukiingia kwenye website ya myus.com unasign up then unachagua membership inayosuite matumizi yako. kwa mfano, mimi nlijiunga kama standard user ambapo walideduct equvalent ya 9usd as setup cost. baada yahapo wanakupa adress ambayo ndio unakua unaitumia then wewe unachagua physical adres ya huku bongo ambapo ungependa wafanye delivery. hii inasaidia endapo a certain seller kwenye ebay hafanyi shipping to TZ.
e.g my us adress is:
Current Address
Don Lucchese
42838 press Lane
Suite 326-977
Sarasota, FL 34238
(941) 538-6941
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom