My first boyfriend

Umenikumbusha nipo advanced level nilikuwa na uhusiano na mtoto R. I P) wa makamu mwenyekiti wa chama tawala wa sasa, rafiki zangu wakanizunguka wakachukua namba sijui walimwambia nini alibadirika sana, mpaka anaenda uingereza kusomea sheria aliniambia tuwe normal friend, kabla hajapatwa na umauti kwa ajali, umenikumbusha mbali huwa hampendi kutangazwa at certain age
 


Fungus siyo tatizo kwa govi.


Huwezi fananisha Europe na Africa kwenye mambo ya magonjwa.

Ningekuelimisha lkn napata uvivu kuandika sana
 
Ukabaki unatembea na picha yake mpaka nilipoichana ulipokuwa SAUT,

Ulikuwa unanikera!
 
Fungus siyo tatizo kwa govi.


Huwezi fananisha Europe na Africa kwenye mambo ya magonjwa.

Ningekuelimisha lkn napata uvivu kuandika sana
brother wanaume wasiokatwa huweza kusumbuliwa na fungus kama wanawake tu, wasipokuwa wasafi.

well too bad hujanielezea...but me sioni tofauti, as far as circumcision is concerned. hata Afrika kuna jamii hazitahiri vile vile.

kukata ili kupunguza maambukizi ya UKIMWI ni umburulaz. acheni ngono zembe.

kukata kupunguza uwezekano was kupata cancer nayo ni umburulaz. tuwakate wasichana nyonyo ili tuwapunguzie uwezekano was kupata breast Cancer?.
 
people will always talk about your history bwana...

and yes I haven't denied he got it all better than me
Yeah, he got it all better than you, but I am certain your time is soon coming! Most gals have this wrong perception, that success is going to Europe, car possession etc. Success is more than that. It's about that heart's content and peace of mind, you know! Don't lose heart, God is in control!
 
hahahah you made my day housegirl,,i loove your kidhungu so classic
 
oh thank u for your words of encouragement

subiri nikunukulie signature ya RRONDO

"Money is not everything,. but make sure you have enough before uttering that nonesense"

😀
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…