My first boyfriend

Afu ukambania chotara afu ukaliwa na mla vumbi afu ukaanza kumkumbuka chotara afu kijiba cha roho kikakuuma afu unakuja kutuadithia hapa
 
Roho inauma Ila ndio hakuna.ujanja, msiwe mnaleta nyodo huwezi jua kesho
 
now you are talking...huwezi ukamblock wewe
 
nmefurahi stori na msimuliaji anavosimulia,, vimaneno vya kiswazi hadi raha
 
teh teh teh
 
House girl haya mambo umejifunzia wapi wakati mabeki tatu mda mwingi mnakua mnapika, mnafua, mnabadilisha watoto nepi etc...
 
Uko poa sana kwenye uwasilishaji wa mada,nimependa namna ulivyopangilia stori japo nakupa pole kwa kubwia vumbi la magu.fulia.
 
wivu tu
 
ni hali ya kiume tu ya kujisifia makekela ulitakiwa uelewe ini utoto muda huo ungempa nafasi..ona sasa aibu na wivu una mblock bila sababu...sema nin sio ishu hapungui kitu.....story nzuri
 
Hapo umezungumzia wamasai wanaume,wanawake je? Wao wanafanyiwa unyago wakati gani.
Wamasai hawafanyiwi tohara mpaka wawe wakubwa. Hii ni kwa sababu wanatairiwa bila ganzi na atatakiwa kuonyesha kwamba sasa anafaa kuwa mwanaume halisi,kwa kuvumilia maumivu yote.
nilifikiri hajatahiriwa coz kwa mabara Mengi ya Ulaya hawatahiri
 
hebu story ya boyfriend wako wa 2 naye alikuwaje?
Aaaaah... my cherry popper... my heart breaker... GABACHORI langu...you want his story? ain't So pretty.
lakini karudi kwao na yeye kapigika kweli Kama mimi. nafurahi saaana 😀
 
nilifikiri hajatahiriwa coz kwa mabara Mengi ya Ulaya hawatahiri
Hapana. Ni maumivu sana hivyo haihitaji watoto. Sasa hivi atakua kashawekewa tayari. Mjaribu akugegede vema.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…