My first boyfriend

Wamasai hawafanyiwi tohara mpaka wawe wakubwa. Hii ni kwa sababu wanatairiwa bila ganzi na atatakiwa kuonyesha kwamba sasa anafaa kuwa mwanaume halisi,kwa kuvumilia maumivu yote.
 
saivi wewe uko wapi hujamaliza story vizuri
 
I'm only imagining how *patience* in love despeared in your soul, after realizing the guy is on apex level now....pole eeeh
Kama sijakuelewa Hivi..
I want my own success too not only a man's!!
namlinganisha na mimi and not my man.
nikinenepamo na mimi namAdd 😀
 
kwanini uliamua kumblock mshikaji? inamaana bado una hasira nae? na hasira za nini?
it was never possible kubaki marafiki.... topic ya mahusiano would always come up, mwishowe tunagombanana.
maybe it will be different this time, but moyo haujataka.

plus his lady is too hot. atanitaniaaaa. embu subiri na mimi ning'ae kwanza. 😀

sijamblock lakini nimeiacha tu
 
njooo kwangu nikung'arisheee na wewe uache kulia lia.
 
Hapo umezungumzia wamasai wanaume,wanawake je? Wao wanafanyiwa unyago wakati gani.
 
"In your city faded off the brown, nino/
.........................
Swimming in the money come and find me, nemo/..."

What I missed, makes more sense.
 
Em' niPM jina unalotumia fb nijiongezee idadi ya marafiki mie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…