My Dream Woman

My Dream Woman

dah vigezo vidogo sana ivo kila mmoja anavyo wengine tumepitiliza hapo. vip niorozeshe vyangu nione dream kama zinaendana?

Ulikuwa wapi jamani mi nahangaika hivi kukutafuta jamani! Hebu lete maneno
 
wamasai hatunaga vichuguu tafuta mzaramoo
upelembwe

ushaogeshwaga na kisosi wewe???

Wanaoogesha na kisosi wa tanga hao. Wazaramo wafupi sana so siwataki.
 
Ulikuwa wapi jamani mi nahangaika hivi kukutafuta jamani! Hebu lete maneno

nikiyaleta hapa naogopa sana naama nishaambiwa nitengeneze wangu. so nilikuwa naongea na sir God akanambia subiri
 
Wow hii nzuri lkn umesahau kigezo muhimu kuliko vyote na kigezo hicho hata kama hautakubaliana na mimi bado kitabaki kuwa muhimu na cha lazima. Kwanza unapaswa kua mcha Mungu sizungumzii mahudhurio ya nyumba za ibada. Kwa uchaji wako utaonyeshwa maelekezo aliyotoa muumba wako juu ya kumpata mwenza sahihi . Iko bayana kabisa , amesema hivi pesa na dhahabu waweza pata kwa wazazi lkn mke mwema mtu hupew na Bwana tena apatae mke mwema amepata kitu cha thamani. Si dhambi kuainisha sifa hizo zote lkn kipengele hiki ni muhimu sana.

Mkuu wengi walipata watu wenye sifa hizo na nyongeza kwa bahati mbaya mwisho haukua mzuri kwani huwezi kuujua undani wa mtu kwa kumtazama ni muumba pekee ajua yote. Kuhusu kuchepuka mkuu hiyo ni tabia haizuiwi kwa kua na mke bora kiasi gani. Ukishindwa kuutunza mwili wako na kuutoa sandakalawe kwa kigezo cha kasoro za mke ni wewe tu mkuu , kumbuka kuna wanaume kama wewe maelfu kwa maelf wanaojitunza na kuishi maisha ya ukamilifu/uaminifu tena wengine wanauguliwa na wake zao . Otherwise nakutakia kila la kheri ktk kutafuta .
 
Umeniwindaje sasa mi mbona kila siku nakatiza katiza mbele ako sijaona hata nchale, au hauna shabaha?
Niliona nikikuua mapema pori litakosa mvuto kwahiyo nikaamua kukuacha uwe unapita pita unajitingisha hivyo hivyo pori lisikose mvuto kabisa
 
Wow hii nzuri lkn umesahau kigezo muhimu kuliko vyote na kigezo hicho hata kama hautakubaliana na mimi bado kitabaki kuwa muhimu na cha lazima. Kwanza unapaswa kua mcha Mungu sizungumzii mahudhurio ya nyumba za ibada. Kwa uchaji wako utaonyeshwa maelekezo aliyotoa muumba wako juu ya kumpata mwenza sahihi . Iko bayana kabisa , amesema hivi pesa na dhahabu waweza pata kwa wazazi lkn mke mwema mtu hupew na Bwana tena apatae mke mwema amepata kitu cha thamani. Si dhambi kuainisha sifa hizo zote lkn kipengele hiki ni muhimu sana.

Mkuu wengi walipata watu wenye sifa hizo na nyongeza kwa bahati mbaya mwisho haukua mzuri kwani huwezi kuujua undani wa mtu kwa kumtazama ni muumba pekee ajua yote. Kuhusu kuchepuka mkuu hiyo ni tabia haizuiwi kwa kua na mke bora kiasi gani. Ukishindwa kuutunza mwili wako na kuutoa sandakalawe kwa kigezo cha kasoro za mke ni wewe tu mkuu , kumbuka kuna wanaume kama wewe maelfu kwa maelf wanaojitunza na kuishi maisha ya ukamilifu/uaminifu tena wengine wanauguliwa na wake zao . Otherwise nakutakia kila la kheri ktk kutafuta .
Nimebarikiwa na post yako mkuu (speaking from my heart) kuna mfano mmoja kwa sisi wakristo unasema "Ni mzazi gani ambaye motto wake atamuomba mkate ampe jiwe, au amuombe samaki ampe nyoka. Je kama binadamu wanaweza kuwapa watoto wao vilivyo vyema iweje kwa Mungu?" Hii naamini Mungu anampa mtu kile anachoomba tena kikiwa chema zaidi. Kwenye ucha Mungu nakubaliana na wewe 100% kwasababu matatizo mengi tunayokutana nayo sasa sio tu kwenye ndoa ila kwenye maeneo mengi ni kutokana na watu kukosa hofu ya Mungu. Frankly speaking I am blessed with your comments!
 
nikiyaleta hapa naogopa sana naama nishaambiwa nitengeneze wangu. so nilikuwa naongea na sir God akanambia subiri

We huoni kama tukikutana then tunafanya matching items halafu mambo yanakuwa poa?
 
Nimebarikiwa na post yako mkuu (speaking from my heart) kuna mfano mmoja kwa sisi wakristo unasema "Ni mzazi gani ambaye motto wake atamuomba mkate ampe jiwe, au amuombe samaki ampe nyoka. Je kama binadamu wanaweza kuwapa watoto wao vilivyo vyema iweje kwa Mungu?" Hii naamini Mungu anampa mtu kile anachoomba tena kikiwa chema zaidi. Kwenye ucha Mungu nakubaliana na wewe 100% kwasababu matatizo mengi tunayokutana nayo sasa sio tu kwenye ndoa ila kwenye maeneo mengi ni kutokana na watu kukosa hofu ya Mungu. Frankly speaking I am blessed with your comments!
Asante mkuu nashukuru kama umebarikiwa nami nakubariki kwani tumeambiwa tubariki na tusilaani
 
aisee toa ODA KWA SIR God maana vigezo vyako bado havipo hapa duniani
hiyo ndoto ni kubwa sana
"If you haven't achieved your dream, don't wake up so you can keep dreaming" Navuta shuka.......
 
Usikate tamaa hata ukifikisha 50 yrs waweza kumpata mwenye vigezo hivi. Inabidi kuwe na sala maalumu ya kuombea vigezo kwa Mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom