My Dream Woman

Nimekuwa nawaza sana what kinda woman if I have her then wengine watalazimika kutumia nguvu kubwa sana kunifanya nichepuke. Nadhani nimeweza kumjua na kama ningekuwa najua kuchora kama zamani basi ningemchora ili nimesahau kuchora siku hizi. Ila hivi ndivyo ningependa muonekano wake uwe; Awe na urefu wa kati ya 5.5 - 5.6 ft hii itamruhusu hata akivaa high heels then tunaendana, awe na light skin (sio mweupe), asiwe mnene wala mwembamba (ukinenepa na manyamanyama nakuacha), awe na kijungu cha kiafrika (this is very important) asiwe mpiga mizinga ya kijingajinga (Najua jukumu langu la kumhudumia tatizo ni mizinga ndio sitaki ile ya kijingajinga) so kama nitampata wa hivi then sitachepuka. Ah nilikuwa nimesahau sifa nyingine kubwa, awe na sura yenye mvuto kuliko mimi sio tukikatika vichwa na mi nimenyoa ndevu basi watu wadhani mi ndio mwanamke. Basi ndio hivyo....

Yolo yoloooo,eti ukinenepa nakuacha.hayo si ndio masimango. Mfano kubeba ujauzito kunenepa hakuepukiki,....zaa wako atayebaki rigid forever
 
Mbona Beyoncé hakunenepa tena ndio kazidi kuwa hoot!
 
Kuchepuka ni litabia la mtu tu, hata awe na mke wa ndoto zake kama za mtarajiwa wako
Kabla hujachepuka huwa kuna kitu kinaitwa "Second Thought" Hapo anaanza kuwaza mambo mengi kama vile, je huyu mtu anamzidi mume au mke wangu kitu gani? Je ist worth cheating with this person? So kama una your dream woman or man then unaweza kujikuta unapata opposition kubwa kwenye akili yako mwenyewe coz unaweza anza ona positive nyingi kwa uliye naye kuliko negatives na kuona negatives nyingi kwa mchepuko na kasha kuamua kuacahana na kuchepuka
 
Mbona Beyoncé hakunenepa tena ndio kazidi kuwa hoot!

Tofautisha wakati wa ujauzito na baada hicho kipindi lazima mwili ubalike na ikibidi mwingine awe na rangi nyeusi km mkaa,

Ukimwangalia Beyonce fahamu Baada ya kujifungua,kuna uwezekano mkubwa sana wa kurudisha mwili kuwa kawaida name usiweze kujua km MTU ameshazaa.

We mwenzetu akinona tu utamwacha,kipindi hicho utachepuka??unless ujidanganye
 
Unene ninaoongelea hapa ni ule mtu anakuwa kama "Bimbilisamavi" lugha yetu ya utotoni hiyo lakini sio ule wa ujauzito ambao nitakuwa punguani kutaka mtu awe na ujauzito halafu abaki namba moja
 
Ok all the best umpate huyo atakaekidhi vigezo vyako

Sisi wakristo tunaamini kinywa huumba, na Mungu anakupa kadiri ya maombi yako jamani. Nataka hata mmoja aseme mimi ninazo lakini naona kama watu wanaogopa masharti wakati ni ya kawaida ila lile la "Mizinga ya kipuuzi" naona ndio linawakwaza watu
 
Nimekuwa nawaza sana what kinda woman if I have her then wengine watalazimika kutumia nguvu kubwa sana kunifanya nichepuke. Nadhani nimeweza kumjua na kama ningekuwa najua kuchora kama zamani basi ningemchora ili nimesahau kuchora siku hizi. Ila hivi ndivyo ningependa muonekano wake uwe; Awe na urefu wa kati ya 5.5 - 5.6 ft hii itamruhusu hata akivaa high heels then tunaendana, awe na light skin (sio mweupe), asiwe mnene wala mwembamba (ukinenepa na manyamanyama nakuacha), awe na kijungu cha kiafrika (this is very important) asiwe mpiga mizinga ya kijingajinga (Najua jukumu langu la kumhudumia tatizo ni mizinga ndio sitaki ile ya kijingajinga) so kama nitampata wa hivi then sitachepuka. Ah nilikuwa nimesahau sifa nyingine kubwa, awe na sura yenye mvuto kuliko mimi sio tukikatika vichwa na mi nimenyoa ndevu basi watu wadhani mi ndio mwanamke. Basi ndio hivyo....

Mkuu, achana na dreams, amka kwenye reality upate mwanamke anayekufaa kulingana na wakati, hizi ndoto ndio husababisha watu kuoa viroja na vituko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom