My Dream Woman

M'Jr

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,700
2,000
Nimekuwa nawaza sana what kinda woman if I have her then wengine watalazimika kutumia nguvu kubwa sana kunifanya nichepuke.

Nadhani nimeweza kumjua na kama ningekuwa najua kuchora kama zamani basi ningemchora ili nimesahau kuchora siku hizi.

Ila hivi ndivyo ningependa muonekano wake uwe; Awe na urefu wa kati ya 5.5 - 5.6 ft hii itamruhusu hata akivaa high heels then tunaendana, awe na light skin (sio mweupe), asiwe mnene wala mwembamba (ukinenepa na manyamanyama nakuacha), awe na kijungu cha kiafrika (this is very important) asiwe mpiga mizinga ya kijingajinga (Najua jukumu langu la kumhudumia tatizo ni mizinga ndio sitaki ile ya kijingajinga) so kama nitampata wa hivi then sitachepuka. Ah nilikuwa nimesahau sifa nyingine kubwa, awe na sura yenye mvuto kuliko mimi sio tukikatika vichwa na mi nimenyoa ndevu basi watu wadhani mi ndio mwanamke.

Basi ndio hivyo..
 

Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,822
2,000
Weka picha ili wajilinganishe sura yako na yao siunataka usiwazidi uzuri.Halafu sema yote kama ESCROW huna sahau hata ungehitaji mwenye sura mbaya humpati
 

M'Jr

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,700
2,000
Weka picha ili wajilinganishe sura yako na yao siunataka usiwazidi uzuri.Halafu sema yote kama ESCROW huna sahau hata ungehitaji mwenye sura mbaya humpati
Wapoti sio wote tukiwa na ESCROW nani atamringishia mwenzake?
 
Last edited by a moderator:

M'Jr

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,700
2,000
Hahahahaa...Nimecheka uliposema akinenepa unamuachaa..!!
Sasa watu tunachukuana unaona kabisa kiuno na tumbo vilipo, mara ghafla huwezi kutofautisha makalio, kiuno, tumbo na kifua? Ili nisichepuke namuacha tu kwa kweli
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom