My Birthday

My Birthday

Sitasahau siku hiyo maana usiku sikulala vizuri na nilishuhudia vitu kadhaa vitendekavyo usiku...
tutajie basi hivo vitendo
Enewei
Porini shambani hutegemei kuona masuala ya walevi ama mahabuba wakifanya yao. Tegemea kuona viumbe wanaotawala giza
 
Desemba 02 ya kila mwaka ni tarehe ambayo miongoni mwa wengi waliozaliwa siku hiyo, basi mimi kamtu kadoogo kasiko na umuhimu sana nilizaliwa.

Yes namshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote, ameniongoza katika mengi ambayo leo nikigeuka nyuma siamini kama nilipita kule. Nakumbuka incident moja ambapo nilichelewa kupata usafiri wa kurudi nyumbani (Hadi saa nne usiku) kutoka shamba enzi hizo Changanyikeni (nyuma ya UDSM) na usafiri ulikuwa ni uda pekee. Nililazimika siku hiyo kulala juu ya mkorosho shambani maana nilikuwa naogopa mno muumiani hadi nikashindwa kuomba hifadhi kokote. Sitasahau siku hiyo maana usiku sikulala vizuri na nilishuhudia vitu kadhaa vitendekavyo usiku...

Kumbukumbu yangu ya kuzaliwa sitahitaji zawadi yeyote zaidi kwani yanayotukia serikalini katika safisha safisha ni zaidi ya zawadi kwangu.

Nawatakia heri nyote ambao siku kama ya leo mlizaliwa.

Naishukuru JF kipekee kwa kunikuza kifikra na kimsimamo.

Zawadi kwa King'ast wangu ni kuwa "Baby I will come home early today"
Hahaha
 
Back
Top Bottom