kukukumbusha ni jambo moja, utekelezaji ni sera nyingine
Asante kushukuru
dah! yani nisahahu hiyo mkuu? aisee ntakuwa nimevurugwa!
hii team yetu ni noma! vidume vitatu! mbebez mmoja wa ku-dilute! chezeaaa!
dah! yani nisahahu hiyo mkuu? aisee ntakuwa nimevurugwa!
hii team yetu ni noma! vidume vitatu! mbebez mmoja wa ku-dilute! chezeaaa!
Tuko ma babiez wa2 Excel, nko na my twin charminglady. ..nmeongeza team 7..
Wapi #TeamLeo !!!
N wale ambao cku zetu za kuzaliwa zna saba.kama ss tar 25. 07..are u there twin charminglady