My Best 5 Comedians

Kwangu mimi.
1,Dave Chapelle
2.Katy Williams
3.Chris rock
4.Kevin Hart
 
Gabriel Iglesias /Fluffy- Aliniacha Hoi na show yake kuhusu n'gombe India.
Na Dave Chappelle wapo kwenye top 10 yangu.
😅😅 iyo show ilikuwa nzuri kuna wale wajerumani wanavyocheka. Fluffy na trevor noah show zao unaweza kuangalia kila rika hawatumii lugha mbaya
 
Napenda saana sanaa ya nyumbani ila comedy nimeshindwa kuangalia.

Comedians wetu hawajiandai wanajin'gatan'gata ku copy na kupaste.

Kujiandaa na kufanya mazoezi ni muhimu saana. Naamini kila kitu ni practice.
Hakika mkuu 😀.
Ndo maana wanapambana kutaniana na Mama yetu anayeupiga mwingi.
 
Mtafute Rasheed Wallace, Patrice Lumumba O’Neal, Dave Chappelle, Eddie griffin na kart Williams na don rickles
 
Mtafute Rasheed Wallace, Patrice Lumumba O’Neal, Dave Chappelle, Eddie griffin na kart Williams na don rickles
Nitawasikiliza.... bila shaka wewe Mkongwe hawa comedians hawajaanza comedy leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…