My artwork diary

Hi Jagiya hizo draft tunaziita grid

1.zinarahisisha kazi kipindi unapofanya sketching ya picha kukufanya utumie muda mchache kwenye sketching

2.Correct positioning na balancing details ya mchoro.

Hivyo yaani.
asante kwa hilo.Je katika picha yako halisi nayo inatakiwa kuwa nahizo grid au ni wewe na makadirio yako tu?
 
Wew jamaa ni Moto nataka unichoree picha ya bmkubwa na mwanangu wa kike nitakucontact
 
Wew jamaa ni Moto nataka unichoree picha ya bmkubwa na mwanangu wa kike nitakucontact
Ahsante sana chief we can connect ili uwe in my list nsikusahau, poke me on my whatsApp 0755637955.
 
Hatuwezi kujua wewe ni mahiri namna gani bila kulinganisha na Wachoraji wenzako kwa picha hizo hizo.
 
asante kwa hilo.Je katika picha yako halisi nayo inatakiwa kuwa nahizo grid au ni wewe na makadirio yako tu?
Na picha halisi inakua na grid, Kuna artistic apps zipo play/app store unaweza download there.
 
Fanya michoro yako ihamie kidigitali i.e NFT
 
Uko vizuri, ni muda muafaka wa kutumia kipaji chako kiweze kukuingizia pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…