Pamoja mzee!Shukrani & karbu chief
unyama mwingi sana ,blessed handsValentine's drawing offer ipo
Cheki nami whatsapp 0755637955 upate mchoro wako at a discount ya Valentine's offer.
Code #Valentine
View attachment 2106139
View attachment 2106140
View attachment 2106141
Aisee. HatariOn progress
Size: A3 (42.0×29.7)
Medium: Charcoal pencils
Whatssap: 0755 637 955
View attachment 2141904View attachment 2141905
Asante. NazikusanyaKaribu chief![]()
una uwezo mkubwa sana wa kuchora!
nikiona sanaa ya uchoraji huwa nakumbuka maneno ya Mzee wangu, alikuwa ananiambia kwa hasira "wewe unakaa unachora chora tu hapa utakula hizo karatasi?" Nikikumbuka nasikitika sana.
Wazazi hawathamin uwezo na vipaji wanavyokuwa navyo watoto wao.