DuuhBro Acha uchochezi na uzushi hiyo picha ya Mchonga imepigwa na kamera ya mbao mwaka 1997 mwanzoni harafu unatudanganya umeichora!ππ
(Joking bro)
Aisee Wewe jamaa ni moto wa kuotea Mbali nakupa a.k.a ya
Raphael Santi Sanzio wa kizazi kipya hizo kazi ni π₯
Hatari Sana huyu jamaa anafanya art za moto kweli kweli yaani ingekua kazaliwa kule Uropa aisee tungeongea mengine ila huku Afrika vipaji Kama hivyo vinaishia Kwa upepo wa kisulisuliDuuh
Ahsante sna mkuu kwa kushare outAisee bingwa unayaweza, Bravo....
Ingia kwenye social media platforms za wasanii kama umewahi kuisikia hii hapo chini, wasanii wanauza share ideas na vilevile wanatangaza kazi zao na kuuza kutumia hii App, inaitwa Discord
Teen Artists Are Making Millions on NFTs. Why?
For young artists, the volatile world of NFTs has been a powerful springboard for nascent careerstime.com
Na pia jaribu kupitia na kuelewa kitu inaitwa NFTs non-fungible tokens.
NFTs Are Shaking Up the Art WorldβBut They Could Change So Much More
A groundbreaking technology is letting artists sell digital creations in a unique new waytime.com
Dunia imeshakuwa kijiji, hata kama uko sehemu yoyote, ukijichanganya kwa umakini utafanikiwa mkuu.
Hahaha,shukran bossBro Acha uchochezi na uzushi hiyo picha ya Mchonga imepigwa na kamera ya mbao mwaka 1997 mwanzoni harafu unatudanganya umeichora!
(Joking bro)
Aisee Wewe jamaa ni moto wa kuotea Mbali nakupa a.k.a ya
Raphael Santi Sanzio wa kizazi kipya hizo kazi ni
Ndiondio mzee hapa ulikuwa hujaiva kwenye shading ,mchawi ni shading ,
nafikir uyatuze mahitaj yako ukipata pesa umfate umwelezee akuchoree inachkua muda kutengenenza tsaweer ya ina hio.andaaa mawe ukiyapata timba kwa mwana akutolee kitu cha apolo mzee baba.Nilikuwa na idea ila hii naona itapendwa zaidi na watu wa nje! Napenda Sana mambo ya anga so Kama utaweza kuchora artistic mchoro wenye idea hii itapendeza but najua kwa kuwauzia wabongo itakuwa tabu Sana..
Ipo hivi idea yenyewe ni nadharia unachora mwanaanga yupo mwezini akiwa anashangaa foot prints za miguu ya mwanadamu! Picha hii lazima awe ktk mshangao haswaa!! Coz ni kitu si cha kawaida ila najua ni ngumu kumchora akiwa kavalia lile dubwasha na aonekane akishangaa!!.. at the same point kifaa alichotumia kufika nacho mwezini kionekane kwa nyuma yake halafu na dunia lazima ionekane kwa mbali ikiwa nusu!.. manjonjo mengine unaweza ongezea ila isiwe chumvi sanaaa!
Nikija kupata fedha nitapenda hii idea iwekwe mchoro na niupambe sebuleni kabisa..
Naamu.nafikir uyatuze mahitaj yako ukipata pesa umfate umwelezee akuchoree inachkua muda kutengenenza tsaweer ya ina hio.andaaa mawe ukiyapata timba kwa mwana akutolee kitu cha apolo mzee baba.
maulaya bwana ndio wanaelewa hiz ishu mchoro kama van gog unalindwa hadi na fbi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawaNdiondio mzee hapa ulikuwa hujaiva kwenye shading ,mchawi ni shading ,
Shade unazotoa saizi mjomba hufai kbsa,uko mbali sanaaa,niko na mizuka Mingi Sana na art na kuna kipindi nilikuwa moto ile mbaya Sema nikawa natoa Kazi mbovumbovu ,hazifurahishi macho yangu ,nikawa nimecease kidogo ngoja nianze upya