My artwork diary

Hongera sana, zamani nilifanya hii kitu, sijui nimepotelea wapi
 
Mzee hongera sana sana hii kitu umesomea au from no where unaflow namna hii?
Umebeba jambo kubwa sana mzee ,ungekuwa mbele huko ungeteneza hela nzuri ,huku kwetu Africa Art haipewi kipaumbele sana
 
Mzee hongera sana sana hii kitu umesomea au from no where unaflow namna hii?
Umebeba jambo kubwa sana mzee ,ungekuwa mbele huko ungeteneza hela nzuri ,huku kwetu Africa Art haipewi kipaumbele sana
Thanks mzee ni Mazoezi endelevu tu
,nadhani kila ktu ni kinaugumu katika nchi zinazoendelea thou kwa uwepo wa internet imelevel kwa namna fulani uwanja wa publicity viewership mtu toka U.k ,u.s,kenya etc anaweza ona unachofanya akabook.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…