Habari wana JF,
Awali ya yote napenda kuupongeza uongozi wa jamii forums pamoja na wana jf wote kwa mchango wenu mkubwa ambao umepelekea kuifundisha jamii yetu(ingawaje si jamii yote) pamoja na kutoa mwongozo,maoni na habari kwa uma. Aidha kwa majuma machache niliyo jumuika nanyi humu nimepata kung'amua kuwa asilimia kubwa ya wana jf ni zaid ya wasomi kwan wanauwezo wa kutunga hoja zenye mantiki kubwa sana na anauwezo wa kuitetea hoja yake iliyo timamu.
Hapa tunapata kutambua kuwa kumbe jf ni zaid ya mtandao.
Watu tunajishughulisha sana ktk mitandao ya kijamii mingine ambayo ukichunguza utakuta ni kupoteza muda tu kwani nothing gain zaid ya kusumbuana ku like mapicha tuu na post za kipumbavu na matokeo ni kudumaza ubongo tu kwan huwez kuwaza mambo ya kimaendeleo.
Kwa kwel mimi binafsi nafurahia uwepo wangu humu hadi napata shauku kwa nini sikuwako kitambo jf.
Kwa hayo machache yangu nawashukuru kwa usikivu wenu na Mungu awabariki sana 🙂 🙂 🙂
_GREAT THINKERS