Mara ya kwanza niliona umechangia uzi fulani back in 2014, nilikua mgeni hapa JF ila i can't tell how i felt about you nakuadmire secretly, since then, i promised myself to love you with all my heart, sina uhakika kama unajua kwa sababu sijawahi kukutamkia, whenever i log in here, the first person to look for is you, huwa naangalia umecomment nini, umelike kwa nani, na nani amekumention, naweza kuingia JF mwezi mzima nisiseme chochote, nakuangalia tu wewe naona furaha
You are a beautful soul, a real woman, wife material, a mother, smart, and God fear.
Kuna wakati huwa natamani nikuibukie PM ila naogopa, najua umeolewa na una familia, huwa hujichanganyi sana hapa jukwaani na huwa huchangii kwenye nyuzi zenye matani mengi
Ni mshauri mzuri sana, you respect everyone na sio rahisi ukwaruzane na watu.kuna wakati huwa unapoa kabisa kama vile haupo, sijui nikuambiaje wewe mwanamama, nakupenda hadi nahisi kupoteza fahamu, kila nikijitahidi kukutoa akilini mwangu nafeli
Kuna wakati nilikutumia PM za salamu, hukuwahi kunijibu hata moja wala hukuonyesha kujali.niliumia sana, nilikata tamaa ya kuendelea kukutafuta PM na sikua hata na ujasiri wa kueleza hisia zangu juu yako, tatizo ni kwamba you are too perfect kila nikiangalia sioni dosari yako
Huwa nasikia wivu nikiona mtu amekusifia au amekumention kwa jambo lolote, tena nikiona kidume amekuwekea emoj za love basi hali ya hewa huwa inabadilika hata nyumbani huwa sitaki hata wife anisemeshe. natamani ningekua nakumiliki wewe, nikuchunge na kukuficha
Aaah siwezi kuendelea kusema ila leo nimeamua nitoe ya moyoni labda nitapata ahueni.I do admire you secretly mama.
Karibuni tuwatakie wale secret admirers wetu heri ya siku ya wanawake
Hata usinipe pole mkuu..hiyo hali nilishaikataaga kitambo na mwamba alitoka kwenye Mishipa yangu ya damu.Pole na wewe Chakorii sikujua kama wanawake nao wanapatwa na hii hali nilijua ni sisi vidume tu
Wacha...nahisi namjua..I know this lady and yes she is a very special lady. So beautiful and down to earth ila simtaji 😂
Hongera sana umeweza kumove on, nimeshindwa kabisa kumtoa huyu mwanamama akilini, sijui kama akiki zangu zipo sawa au nachanganyikiwa, mpaka naandika hivi ujue ni kama sijielewi kabisaaaHata usinipe pole mkuu..hiyo hali nilishaikataaga kitambo na mwamba alitoka kwenye Mishipa yangu ya damu.
Mpaka sasa hajawahi kujua na hatokuja kujua....usikute ni mbabu wa watu hukoo[emoji3][emoji2][emoji2][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kama uko siriazi..mwamba unateseka kinouma..nilikuwa huko..mwamba alijua kuchukua time yangu moyoni... ni matesoHongera sana umeweza kumove on, nimeshindwa kabisa kumtoa huyu mwanamama akilini, sijui kama akiki zangu zipo sawa au nachanganyikiwa, mpaka naandika hivi ujue ni kama sijielewi kabisaaa
Sijapata chance ya kufanya hivyo mkuu, the fact that she is married na sio mtu wa kujichanganya inanipa woga, sijui atanifikiriaje, huko nyuma nimewahi mtumia PM kama nne hajawahi kujibu wala kujihangaishaFunguka kwake mkuu maisha yenyewe mafupi haya.
Pole aise mkuu..inawezekana kutoka kwenye hicho kifungo lkniUnazidi kunitia maumivu ya moyo, siwezi kuficha hisia zangu kwa huyu mwanamama
Sasa wewe utakuwa ulikurupuka vuuu vaaa PM.hata kama ni mimi nakuchinjia baharini hakuna namnaSijapata chance ya kufanya hivyo mkuu, the fact that she is married na sio mtu wa kujichanganya inanipa woga, sijui atanifikiriaje, huko nyuma nimewahi mtumia PM kama nne hajawahi kujibu wala kujihangaisha
Aiseh pole sana.natamani nikupe mbinu za kimkakati 😁😁😁Nilichoandika hakina hata chembe ya uongo tena nadhani nimekosa maneno sahihi ya kuelezea namna ninavyomfeel huyu mama
Kama unahisi kummudu mchane!akichomoa si basi jaman kwani lazima??angalau utakuwa umetua mzigo.simpoSioni namna, tangu 2014 mpaka leo ndio kama moto unachochewa