Mwongozo wa utumishi wa umma

Mwongozo wa utumishi wa umma

Kwa Muijibu wa waraka Na. 11 wa Mwaka 2002 baada ya kuijiendeleza kuna kitu kinaitwa RECATEGORIZATION (Kubadilishwa kazi/Cheo) hii inahusu watu walioiendelza fani za awali na waliobadilisha fani.

Kwa kuwa wewe umebadilisha fani ngoza nijikite huko. Kama unasoma huku unafanya kazi i.e kwa evening au umeenda kampus kwa kufuata taratibu za ruhusa hapa mshahara wako utaendelea ku flow ila kama ulitoroka mshahara utasimamishwa na utafunguliwa mashtaka (utalipwa nusus mshahara mpaka utakapokutwa na hatia ya utoro wa siku 5).

Baada ya kuhitimu kuna namna mbili> Ya kwanza toa taarifa kwa Mwajiri wako kuwa umehitmu na kupeleka academeic transcript. Kakam kuna nafasi kwa fani husika atakubadilishia majukumu au kazi kwenda kwenye fani husika kama ni daktari unaweza kupelekwa kwenye hospitali ya Wilaya husika (japo sina hakika kama zinamilikiwa na Halmashauri au Wizara ya Afya).

Namna ya pili ni kuomba kazi nyingine ukipata fuata taratibu pitisha maombi kwa mwajiri wako ukifuzu usaili na kuajiriwa utaondoka na haki zako zote ulizokuwa nazo kwenye Ualimu.

Kila la heri
Sijaelewa hapo kwenye kuchukuliwa hatua kama umesoma evening class. Yani nimetumia muda wangu nje ya masaa ya kazi kujisomea na bado nichukuliwe hatua?
 
Back
Top Bottom