Mwongozo wa utumishi wa umma

M

Madcheda

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Messages
422
Points
195
M

Madcheda

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2009
422 195
Hongera sana,hapo unaomba kupangiwa kazi ya fani yako baada ya kuhitimu,me ofcn kwetu kuna mtu alikua mlinzi akasoma acc kwa ngazi ya adv dip saiv ni auditor
 
S

SG8

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Messages
3,673
Points
2,000
S

SG8

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2009
3,673 2,000
Kweli jf tunatisha kwa knowledge anuwai. kaka gerrad kwanini waajili wengine hawabadili increment za mshahara kwa wakati?

yaani ni vigezo gani vinatumika kupandisha madaraja ya mshahara?? Are they open ???
Increment na madaraja ni vitu viwili tofauti. Increment ni nyongeza ya kila mwaka yaani kila tarehe 1 Julai unatoka ngazi kidato kimoja kwenda kingine mfano TGTS C1 kwenda TGTS C 2. Hii hufanyika kama hakuna nyongeza ya mshahara. Kupandfisa daraja (Promotion) ni kutoka level/ ngazi moja ya mshahara kwenda nyingine mfano kutoka Afisa Elimu Msaidizi III (AEMIII) TGTS C kwenda AEMII TGTS D. Hii ni kati ya miaka mitatu hadi mitano tangu uanze kazi au last promotion.
Sababu zinazochelewesha kuanda daraja zipo nyingi mfano kutokuwa na TSD Na, kuchelewesha vyeti/ kujaza mikataba ya ajira, kuhama toka wilaya moja kwenda nyingine hivyo kupoteza taarifa, kutokuwepo kwenye mapendekezo ya mwajiri, matatizo ya kinidhamu kama utoro n.k, poor performance, uzembe wa ofisi kutotunza kumbukumbu, uhaba wa bajeti (kasungura kadogo) na nyingine zinazofanana na hizo. Lakini unatakiwa kupewa promotion si zaidi ya miaka mitano
 
kilimasera

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
3,073
Points
1,225
kilimasera

kilimasera

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
3,073 1,225
GERRAD mimi nimemaliza MASTERS YA MANAGEMENT NINA BACHELOR PIA YA MANAGEMENT NIMESPECIALIZE KWENYE ORGANIZATIONAL MANAGEMENT NA HUKO NYUMA NILIKUA MWALIMU NA SASA NILIFANYIWA RECATEGOLIZATION NA KUA AFISA UTUMISHI NINA MWAKA TOKA NIPATE CHEO HIKI SASA NINACHOOMBA KUJUA ILI NIWE MKUU WA IDARA NATAKIWA NIWE NA UZOEFU WA MIAKA MINGAPI INGAWA HIYO AJIRA YA UALIMU NILIITUMIKIA KWA MIAKA 12
 
M

Mrdavie

New Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
4
Points
45
M

Mrdavie

New Member
Joined Apr 5, 2014
4 45
na inakuwaje pale mtumishi anaposomea kada yake,haki zake ni zipi baada ya kuhitimu masomo? mfano mtumishi mwenye stashahada ya mifugo anapoenda kusomea shahada ya mifugo?
 
Lung'wecha

Lung'wecha

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2014
Messages
828
Points
500
Lung'wecha

Lung'wecha

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2014
828 500
Increment na madaraja ni vitu viwili tofauti. Increment ni nyongeza ya kila mwaka yaani kila tarehe 1 Julai unatoka ngazi kidato kimoja kwenda kingine mfano TGTS C1 kwenda TGTS C 2. Hii hufanyika kama hakuna nyongeza ya mshahara. Kupandfisa daraja (Promotion) ni kutoka level/ ngazi moja ya mshahara kwenda nyingine mfano kutoka Afisa Elimu Msaidizi III (AEMIII) TGTS C kwenda AEMII TGTS D. Hii ni kati ya miaka mitatu hadi mitano tangu uanze kazi au last promotion.
Sababu zinazochelewesha kuanda daraja zipo nyingi mfano kutokuwa na TSD Na, kuchelewesha vyeti/ kujaza mikataba ya ajira, kuhama toka wilaya moja kwenda nyingine hivyo kupoteza taarifa, kutokuwepo kwenye mapendekezo ya mwajiri, matatizo ya kinidhamu kama utoro n.k, poor performance, uzembe wa ofisi kutotunza kumbukumbu, uhaba wa bajeti (kasungura kadogo) na nyingine zinazofanana na hizo. Lakini unatakiwa kupewa promotio
KAKA NISAIDIE HII POSS 4 NI KIASI GANI CHA MSHAHARA,UHUDUMU WA OFISI CHUONI
 
C

conservative3

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Messages
756
Points
500
C

conservative3

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2013
756 500

Mkuu WA idara lazima uwe na miaka saba kwenye fani husika LA sivyo itakua kaimu mpaka muda ufike.pia unakua Mkuu WA idara km hakuna MkuuwaWA idara na lazima upendekezwe ufanyiwe vetting na tamisemi wakubali navhalmashaur wakubali
 
M

MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Messages
4,012
Points
2,000
M

MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2011
4,012 2,000
Dah hii topic ndo yenyewe!Wakuu vp mtu aliyeko kazini akaomba kazi sehemu nyingine na kupata lakini bosi akagoma kumruhusu kuhama!Mtu huyu ana haki gani?
 
Ndugu inategemea uko kwenye ajira IPI na mashart ya ajira husika.pia kwa mfumo WA serikali WA jumla japo kuna sheria ambazo ajira flani inasimamiwa ila kwa ujumla kuna a in a tatu
Recruitment
Appointment
Operation
 
C

conservative3

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Messages
756
Points
500
C

conservative3

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2013
756 500
Kuhama Si haki yako ndo mama ukihamishwa unalipwa na ukijiamisha aulipwi na unapojiamisha mwajili anakataa au kukubali kutokana na idad ya watu alokua nao na mahitaji ndo mana wengine wanabadilishana.pia unaweza kuacha kazi Massa 24 na kutoa mshahara WA nwezi au taarifabya miwzi mitatu.ilibuende utakako.km kila MTU akitaka kuhama na ni haki yake has baadh ya sehem zisingekua na watumishi kabisa.saw a saw a na likizo mwajili anaweza kuzuia au kusogeza mbele likizovyakobya mwaka kwa malipo au makubaliano flan flan
 
J

jakobuya

Senior Member
Joined
Jan 10, 2015
Messages
160
Points
225
J

jakobuya

Senior Member
Joined Jan 10, 2015
160 225
na inakuwaje pale mtumishi anaposomea kada yake,haki zake ni zipi baada ya kuhitimu masomo? mfano mtumishi mwenye stashahada ya mifugo anapoenda kusomea shahada ya mifugo?
Akirudi baada ya kuhitimu atamwandikia mwajiri kuomba kubadilishiwa muundo wa utumishi (recategorization). Mwajiri atambadilishia cheo na kumpa cheo kipya chenye kulingana na kiwango chake kipya cha elimu. Cheo kipya kinaweza kumpa mshahara mpya iwapo tu mtumishi alikuwa na mshahara mdogo tofauti na mshahara wanaoanza nao wenye shahada. Iwapo mtumishi aliyepata shahada alishavuka mshahara wa kuwnzia wa mwenye shahada, basi mtumishi aliyepata shahada anapewa cheo cha wenye shahada chenye mshahara sawa na anaopata akiwa na stashahada
 
J

jakobuya

Senior Member
Joined
Jan 10, 2015
Messages
160
Points
225
J

jakobuya

Senior Member
Joined Jan 10, 2015
160 225
Kwa Muijibu wa waraka Na. 11 wa Mwaka 2002 baada ya kuijiendeleza kuna kitu kinaitwa RECATEGORIZATION (Kubadilishwa kazi/Cheo) hii inahusu watu walioiendelza fani za awali na waliobadilisha fani.

Kwa kuwa wewe umebadilisha fani ngoza nijikite huko. Kama unasoma huku unafanya kazi i.e kwa evening au umeenda kampus kwa kufuata taratibu za ruhusa hapa mshahara wako utaendelea ku flow ila kama ulitoroka mshahara utasimamishwa na utafunguliwa mashtaka (utalipwa nusus mshahara mpaka utakapokutwa na hatia ya utoro wa siku 5).

Baada ya kuhitimu kuna namna mbili> Ya kwanza toa taarifa kwa Mwajiri wako kuwa umehitmu na kupeleka academeic transcript. Kakam kuna nafasi kwa fani husika atakubadilishia majukumu au kazi kwenda kwenye fani husika kama ni daktari unaweza kupelekwa kwenye hospitali ya Wilaya husika (japo sina hakika kama zinamilikiwa na Halmashauri au Wizara ya Afya).

Namna ya pili ni kuomba kazi nyingine ukipata fuata taratibu pitisha maombi kwa mwajiri wako ukifuzu usaili na kuajiriwa utaondoka na haki zako zote ulizokuwa nazo kwenye Ualimu.

Kila la heri
Mkuu, kumbe mtumishi akitoroka anaweza kusimamishwa kazi, akaendelea kulipwa nusu mshahara mpaka siku atakappatikana na hatia ya utoro kazini. Kwa kuwa TSD hawana fedha za kufanya uchunguzi na kuendesha mashauri, shauri la kinidhamu la utoro kazini linaweza kuhitimishwa baada ya miaka 3 hadi 5 hivi. So mtuhumiwa atarndelea kula nusu mshahara ( fedha za walipa kodi wa Tanzania) bila kufanyakazi hata kama Mamlaka yake ya Ajira inajua vizuri kwamba mtumishi huyo alishaajiriwa katika sehemu nyingine (private) na kule anakula mshahara mnono?
 
J

jakobuya

Senior Member
Joined
Jan 10, 2015
Messages
160
Points
225
J

jakobuya

Senior Member
Joined Jan 10, 2015
160 225
Mkuu WA idara lazima uwe na miaka saba kwenye fani husika LA sivyo itakua kaimu mpaka muda ufike.pia unakua Mkuu WA idara km hakuna MkuuwaWA idara na lazima upendekezwe ufanyiwe vetting na tamisemi wakubali navhalmashaur wakubali
Mkuu, wanaofanya vetting sio TAMISEMI bali ni OR-Menejimenti ya Utumishi wa Umma
 
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Messages
13,480
Points
2,000
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2012
13,480 2,000
nazani ni mda muafaka wa kuweka waraka mbalimbali za watumishi
 
K

keepthefaithalive

Member
Joined
Aug 4, 2014
Messages
44
Points
0
K

keepthefaithalive

Member
Joined Aug 4, 2014
44 0
Kuhama Si haki yako ndo mama ukihamishwa unalipwa na ukijiamisha aulipwi na unapojiamisha mwajili anakataa au kukubali kutokana na idad ya watu alokua nao na mahitaji ndo mana wengine wanabadilishana.pia unaweza kuacha kazi Massa 24 na kutoa mshahara WA nwezi au taarifabya miwzi mitatu.ilibuende utakako.km kila MTU akitaka kuhama na ni haki yake has baadh ya sehem zisingekua na watumishi kabisa.saw a saw a na likizo mwajili anaweza kuzuia au kusogeza mbele likizovyakobya mwaka kwa malipo au makubaliano flan flan
conservative vipi je kwa mtumishi mpya mwenye miezi 2 kazini lakini akabahatika kupata kazi kwenye mashirika ya umma yanayojitegemea mfano BOT,TRA au NSSF,je mtumishi huyu anauwezo kwa kuacha kazi kwa 24 hr notice na kurudisha mshahara wake wa mwezi mmoja na kwenda kwenye mashirika haya bila usumbufu wowote baadae???mfano mshahara kugongana.
 
L

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
980
Points
225
L

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
980 225
Salaam wakuu,mchumba wangu ni mwalimu wa shule ya msingi tabora huko,akasoma chin chin kamaliza miaka miwili ya ajira basi 2014 kaenda kusoma digrii baada ya kupewa ruhusa!,nataman akihitimu 2017 bas aajiriwe iringa ili tuishi wote.
Naombeni ushauri wakuu hapa nifanyeje ili huyu mwalimu abadilishiwe cheo na pia apate iringa,ukizingatia pia waalimu hupangiwa posts baada ya kuhitimu
 
M

MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Messages
4,012
Points
2,000
M

MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2011
4,012 2,000
Kuhama Si haki yako ndo mama ukihamishwa unalipwa na ukijiamisha aulipwi na unapojiamisha mwajili anakataa au kukubali kutokana na idad ya watu alokua nao na mahitaji ndo mana wengine wanabadilishana.pia unaweza kuacha kazi Massa 24 na kutoa mshahara WA nwezi au taarifabya miwzi mitatu.ilibuende utakako.km kila MTU akitaka kuhama na ni haki yake has baadh ya sehem zisingekua na watumishi kabisa.saw a saw a na likizo mwajili anaweza kuzuia au kusogeza mbele likizovyakobya mwaka kwa malipo au makubaliano flan flan
HApa napo patamu, kwa mfumo wa sasa ukiacha kazi masaa 24 serikalini ili uende ukaanze upya ajira yako mahali ulipopata lowsone or whatever they call it inakutambua bado kama mtumishi ulie kwenye payroll hivyo huwezi kualipwa mshahara au kuingizwa kwenye payroll. Hii imekuwa taabu kweli, kuna jamaa yangu aliacha kazi 24 hrs sasa hivi anahaha ili arudi kazini maana ajira mpya imekwamia utumishi!Hili likoje kisheria??
 
M

mamabaraka

Member
Joined
Oct 18, 2011
Messages
92
Points
95
M

mamabaraka

Member
Joined Oct 18, 2011
92 95
wadau naomba msaada. hivi inakuwaje mtu aliteajiliwa tangu february utumishi mpaka leo hajapata mshahara. inachukua muda gani kwa muajiliwa mpya kupata check namba? naombeni msaada wenu
 
T

tipa10

Member
Joined
Apr 8, 2015
Messages
46
Points
95
T

tipa10

Member
Joined Apr 8, 2015
46 95
HApa napo patamu, kwa mfumo wa sasa ukiacha kazi masaa 24 serikalini ili uende ukaanze upya ajira yako mahali ulipopata lowsone or whatever they call it inakutambua bado kama mtumishi ulie kwenye payroll hivyo huwezi kualipwa mshahara au kuingizwa kwenye payroll. Hii imekuwa taabu kweli, kuna jamaa yangu aliacha kazi 24 hrs sasa hivi anahaha ili arudi kazini maana ajira mpya imekwamia utumishi!Hili likoje kisheria??
nimeguswa sana na hii mada mana me ni mhanga. niliajiliwa na umma na kabla nilisha fanya usaili secretariet na nmepangiwa ajira mpya bac nmemfec ded kagoma kunisainia kwenda kwnye ajira mpya, so nmevurugwa sna hamu tena na cjui ntafanyeje wadau
 
Forum statistics

Threads 1,324,588
Members 508,741
Posts 32,167,430
Top