Wadau, mimi nimeanza ufugaji mdogo mdogo kwa malengo ya baadae kuwa wa kibiashara. Ninatafuta mbegu ya mbuzi wanaozaa mapacha wanne. Naomba kama kuna mtu anafahamu mahali niakoweza kuwapata au ni mfugaji ajitokeze tafadhali.
Asanteni
Mbuzi kuzaa mapacha wanne wanafanyiwa dawa mimi ninayo ni ya kiboko, ukichapa viboko vitatu wanazaa watatu na ukichapa vinne wanazaa wanne. Ila mara nyingi huwa nachapa mwisho viboko vitatu labda wawe wakubwa sana kwa umbo ndo unachapa vinne. Usiweke mbele tamaa ya kuzaliwa ndama wenhi ambao mama yao atashindwa kuwanyonyesha kwa kuwatoshereza hivyo kufa kwa njaa au magonjwa kutokana na kuwa na utapiamulo.Wadau, mimi nimeanza ufugaji mdogo mdogo kwa malengo ya baadae kuwa wa kibiashara. Ninatafuta mbegu ya mbuzi wanaozaa mapacha wanne. Naomba kama kuna mtu anafahamu mahali niakoweza kuwapata au ni mfugaji ajitokeze tafadhali.
Asanteni
Dogo kaa mbali hapa si mahali pako.Hujafikia majukumu bado.Ingia ulale,kesho mkafunge shuleHata mimi nimetoa macho kwa hili, wakipatikana na mimi nataka
Wewe uko nchi gani , kumbe wazungu wanaendelea kututawala kiuchumi kwa sababu waneshatutawala kimawazo kupitia dini zao, Angekuwa mzungu usinge bisha angesema kafanya utafiti ili kuboresha mapato wewe unabisha kwa ground za ubishi tu. Ulietoa hoja tafadhari nipe namba yako ili nithibitishe jambo hili.Mbuzi kuzaa mapacha wanne wanafanyiwa dawa mimi ninayo ni ya kiboko, ukichapa viboko vitatu wanazaa watatu na ukichapa vinne wanazaa wanne. Ila mara nyingi huwa nachapa mwisho viboko vitatu labda wawe wakubwa sana kwa umbo ndo unachapa vinne. Usiweke mbele tamaa ya kuzaliwa ndama wenhi ambao mama yao atashindwa kuwanyonyesha kwa kuwatoshereza hivyo kufa kwa njaa au magonjwa kutokana na kuwa na utapiamulo.
Kwanza mie huwa siamini hatika miujiza, kwahiyo suala la kuchapa viboko siliamini maana ni kama muujiza. Suala la kuzaa mapacha ni la kibaiolojia na urithi na si la kimiujiza. Jambo la pili, nakubaliana na wewe kuwa wasipopata matunzo mazur wanaweza kufa kutokana na kutokula vizuri. Lakini nilishawahi kuwafuga na nilikuwa nawatunza vzr tu. Kwahiyo sina ttz na matunzo ninachohitaji ni mbegu hiyo.
Hakuna kitu kama hicho.Hakuna mafanikio yanayotokana na ushirikinawewe uko nchi gani , kumbe wazungu wanaendelea kututawala kiuchumi kwa sababu waneshatutawala kimawazo kupitia dini zao, Angekuwa mzungu usinge bisha angesema kafanya utafiti ili kuboresha mapato wewe unabisha kwa ground za ubishi tu. Ulietoa hoja tafadhari nipe namba yako ili nithibitishe jambo hili.
Sawa mkuu endelea kulala usingizi. Tatizo mnalishwa vitu nanyi mnameza tu bila kujua inaweza kuwa sumu na ndo maana maendeleo Mwafrika. mtayasikia kwenye bomba, Mzungu anawaendesha kwa limoti, anahubiri kingine anatenda kingine.Hakuna kitu kama hicho.Hakuna mafanikio yanayotokana na ushirikina
Hii ishu mnayobishana hapa! Binafsi nilikua siiamini sana!Hakuna kitu kama hicho.Hakuna mafanikio yanayotokana na ushirikina
Hii kitu IPO aisee haaa kanda ya ziwaSawa mkuu endelea kulala usingizi. Tatizo mnalishwa vitu nanyi mnameza tu bila kujua inaweza kuwa sumu na ndo maana maendeleo Mwafrika. mtayasikia kwenye bomba, Mzungu anawaendesha kwa limoti, anahubiri kingine anatenda kingine. Mimi nilisoma Japan kuna siku maalum za kwenda kutambika. na kila taasisi sharti waende ikifika zamu yao hata maaskari wanaenda na Japan iko juu kiuchumi. Hebu tafakari vifuko vidogo kwenye makoti na suruwali za mitumba hata bukuta huwa zinabeba nini ! ikaraga baho.
Hii ishu mnayobishana hapa! Binafsi nilikua siiamini sana!
Ila kuna kama wiki mbili zimepita nilikutana na Mzee Fulani mgita wa Bunda huko umri wake kama miaka 81!
Katika kupiga stori alinithibitishia kabisa kama hii dawa ipo!
Aliniambia zipo za aina mbili, ya kuchanganya kwenye maji ya kunywa na nyingine kwenye zizi sijui unafanyeje!
Ni mtaalamu sana wa miti shamba na alinipa na mifano halisi kabisa
Wapo hao kule kigoma nilikuwa naona sana tu mbuzi akizaa watoto wanneKwa mapacha wanne kwa mbuzi mn ndio kwanza naskia
Hata mimi nimetoa macho kwa hili, wakipatikana na mimi nataka
Nikweli mkuu sie kule tulikua nambuzi wengi wanaza 4Mie pia nimeanza.Ila nilichogundua mbegu hiyo inapatikana zaidi, Kigoma na Katavi
Hapa si jukwaa la utani, nenda kwenye majukwaa yanayoruhusu utani maana hapa watu wapo kikazi zaidi. Kwa kukusaidia; Mapacha hutoka kwa mwanamke na wala si mwanaume, take it, usije ukaaibika siku nyingine!Hata mimi nina mbegu za mapacha wanne, akina dada karibuni.
KekunduHii ishu mnayobishana hapa! Binafsi nilikua siiamini sana!
Ila kuna kama wiki mbili zimepita nilikutana na Mzee Fulani mgita wa Bunda huko umri wake kama miaka 81!
Katika kupiga stori alinithibitishia kabisa kama hii dawa ipo!
Aliniambia zipo za aina mbili, ya kuchanganya kwenye maji ya kunywa na nyingine kwenye zizi sijui unafanyeje!
Ni mtaalamu sana wa miti shamba na alinipa na mifano halisi kabisa
anyway una Uhuru wa kusema hivyo kwasababu bado hujazunguka sana hasa kwa wafugaji wakubwa!Kekundu