chindosaid
Member
- Aug 1, 2018
- 36
- 5
Hahahahaha
Bachelor of Education,
Bachelor of Science with Education & Bachelor of Arts With Education vijana kimbia kama ukoma lasivyo mtapata tabu sana.
Kwann asee
Hahahahaha
Bachelor of Education,
Bachelor of Science with Education & Bachelor of Arts With Education vijana kimbia kama ukoma lasivyo mtapata tabu sana.
Wewe ulikuwa na malengo ya kusoma nini??Mkuu nimepiga PCB Nina 8, CCB hebu niambie ni kozi gani nawezachagua MUHAS na SUA ambazo hazitokuwa na competition kubwa kwangu na zenye uafadhali kwenye soko la ajira??
Kijitonyama.Wapi kilipo chuo Cha institute of social works
Hiki kitu hakiwezekani mkuu huwaga wanasumbua sana mpaka mtu anakata tamaa!!Hapana, hiyo ina competition sana. Jaribu kuingia kwa kuomba Range management au Horticulture hizo hazina competition kabisa then ukibahatika kudahiliwa jaribu kuomba uhamisho kwenda Agribusiness
Sasa yeye akiwa na was was mweny 3.0 atasemajeKUNA NDUGU YANGU ANA WASIWASI SANA MAANA ANA GPA 4.8 DIPLOMA NA KAOMBA UDSM TU HAKUOMBA CHUO KINGINE HIVI HUYU UHAKIKA ATAPATA AU?