Mwongozo wa kozi za kuchagua 2018/19

Mwongozo wa kozi za kuchagua 2018/19

Wakuu nataka kufahamishwa mdogo wangu ana one ya 7 PCB yaani phy-C chemi&bios B je anaweza kupata nafasi ya kuchaguliwa MUHAS au chuo kingine kikubwa ?
 
Wakuu nataka kufahamishwa mdogo wangu ana one ya 7 PCB yaani phy-C chemi&bios B je anaweza kupata nafasi ya kuchaguliwa MUHAS au chuo kingine kikubwa ?
Mwambie aombe MUHAS ila asisahau UDOM na BUGANDO. hatoweza kukosa kati ya hivyo.
 
Ndugu zetu mnao apply kozi muwen makini jitahidi kuangalia unapenda nini na unachokiwezaa ucconcern xn soko la ajira kwa xx ukiwa unaingia chuon focus when u finish ur degree
 
Wakuu nataka kufahamishwa mdogo wangu ana one ya 7 PCB yaani phy-C chemi&bios B je anaweza kupata nafasi ya kuchaguliwa MUHAS au chuo kingine kikubwa ?
Huyu kidogo anaweza pata mkuu mwambie ajitose....
 
Kwa wanataka kuwai kuapply wawe makin tozo za mwanz za elf 50 be care iyooo kiax tuu bt amount elekez itatolewaa soon na tcu
 
nimesoma cbg, Nina d ya geog na bios na e ya chemistry, je naweza kuchukua Bsc.agricultural economics and agribusiness SUA?
 
nimesoma cbg, Nina d ya geog na bios na e ya chemistry, je naweza kuchukua Bsc.agricultural economics and agribusiness SUA?
Hapana, hiyo ina competition sana. Jaribu kuingia kwa kuomba Range management au Horticulture hizo hazina competition kabisa then ukibahatika kudahiliwa jaribu kuomba uhamisho kwenda Agribusiness
 
Okay vzr kwa kutufumbua macho m
I tatzo Lang Ni ipo bora zaid Kat ya dip ya famas na maabara ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom