min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,080
- 176,901
Hakika , kwa yote hayo tunaunganika pamojaIkiletwa chai, mwingine alete kikombe, mwingine alete kijiko, mwingine alete sukari...
Ndiyo maana ya Jamiiforum...
Hakika , kwa yote hayo tunaunganika pamojaIkiletwa chai, mwingine alete kikombe, mwingine alete kijiko, mwingine alete sukari...
Ndiyo maana ya Jamiiforum...
Mipaka ya uhuru wa kjzungumza ni ipi??Uhuru usizidi mipaka
Unaruhusiwa kuzungumza yote ilihali tu hauvunji sheria na maadiliMipaka ya uhuru wa kjzungumza ni ipi??
Furum niipendayo JamiiForums.com.Watu hawapendi kusoma Kama hivi post yako ina paragraph 8 Nani atamaliza? Nani anamuda huo wakati huohuo notification za WhatsApp zinaingia, Reddit zinaingia na X zinaingia...
Hapo mtu anajibu kutokana na kichwa Cha habari na muongozo atakaoupata kutoka kwa comment zilizotangulia
Sheria na maadili ya mtandao, ya nchi, ya tamaduni za kila mmoja au hizo ulizoleta wewe???Unaruhusiwa kuzungumza yote ilihali tu hauvunji sheria na maadili
Piga mbwa huyoooUsitupangie , tunachangia na pombe kichwani ,huo muongozo wako wape new members
Mafi kabisaPiga mbwa huyooo
Umejaribu kuingia Facebook.com???Unaruhusiwa kuzungumza yote ilihali tu hauvunji sheria na maadili
Akafie mbele ya safari, anamaanisha watu tukipata mambo zetu tusiwe tunachangia hoja?? MpumbavuMafi kabisa
Hii comment nilikuwa sijaiona bwashee ulikuwa umefunika mizinga mingapiUsitupangie , tunachangia na pombe kichwani ,huo muongozo wako wape new members
Baba mtakatifu91 Fungua profile ya member unaetaka kumu Ignore, kisha. kuna sehemuNipeni mbinu ya kumuignore mtu
Maandiko madogo kama haya mpaka ukachote maarifs kwa Ai (Akili Mnemba) like seriously?Ili kuchangia hoja yenye mashiko kwenye nyuzi fuata hatua hizi:
1. Soma muktadha - Angalia hoja zilizopo na mwelekeo wa mazungumzo.
2. Thibitisha uhalali - Hakikisha hoja yako ni sahihi (tumia vyanzo ikiwezekana).
3. Muundo wazi - Tenga hoja yako kwa nambari au bullet points.
4. Ongeza thamani - Leta mtazamo mpya au ukosefu wa habari uliopo.
5. Tumia lugha ya heshima - Epuka mashambulizi binafsi; jadili hoja si mtu.
6. Fupisha - Weka chini ya aya 2-3 kwa ujumuishwaji rahisi.
7. Taja chanzo - Ikiwa unarejelea data, taja chanzo kwa ufupi.
8.Uliza swali - Maliza kwa swali la wazi kuchochea mijadala.
9.Subiri na jibu - Ruhusu wengine wakujibu kabla ya kujibu tena.
10.Soma mada vizuri usirukie nyuzi ambayo huielewi inaongelea nini.
Kuvaa miwani ya mbao na kumpita kama humuoniNipeni mbinu ya kumuignore mtu